Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Salgado alikua anageuzwa kama chapati na Ronaldinho
Salgado ni muhanga wa Santa Gaucho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salgado alikua anageuzwa kama chapati na Ronaldinho
Swahiba wangu Gang chomba ni kweli kabisa hao wote walicheza pamoja na kilele chao ilikuwa 1998 kombe la dunia ulipoitaja AC Milan hapo naona kabisa nafsi yako imetua pongezi kwa kukipenda chako.Blanc alicheza na Marcel Desailly ambae alipata kuwa kiungo wa AC Milan katikati ya miaka ya 90...
forza Milan
2025 uhai unampa wewe, Mungu halali anafanya kazi yake 24yrsWewe ni kuku mdogo sana kujua move za Ikulu...by the way Magufuli is the president mpaka 2025......hiyo picha haina maana yoyote pia nikukumbushe Ngariba haogopi mkojo...
Janvier Besella Bokungu
Umesahau kuwa hujafa hujasifiwaHadi atangaze kustaafu ndo asifiwe, nalo neno
4. Shaaban Baraza1.Kihwelu Mussa(Super kihwelu)
2.Raphael Paul(RP)
3.Kasongo Athumani
Mnyaama oyeeee.
Hadi atangaze kustaafu ndo asifiwe, nalo neno
Gianlunca zamblota umemsahau.Keep other factors constant
Focusing only on the player's ability, qualities and performances,
Here are the best right backs in chronological order,
1. Allessandro Costacurta
2. Dani Alves
3. Lilian Thuram
4. Phillip Lahm
5. Cafu
Ni world cup winner 2006, ni UEFA champions League winner 2006Keep other factors constant
Focusing only on the player's ability, qualities and performances,
Here are the best right backs in chronological order,
1. Allessandro Costacurta
2. Dani Alves
3. Lilian Thuram
4. Phillip Lahm
5. Cafu
Hope SAID SWEDI alifanya vizuri sana kipindi chake amedumu simba kwa misimu 8 na hakuwahi kunyang'anywa namba na mtuMzee hii ilikuwa hatariii.
Game ile waliyopigwa goal 6 na Barcelona alikuwa alikuwa amechafuka vibaya sana.Salgado alikua anageuzwa kama chapati na Ronaldinho
afu kule mbele kabisa unamkuta ABEID MZIBAYusuph Ismail Bana...