Full Back bora wa Kulia wa muda wote!

Full Back bora wa Kulia wa muda wote!

Kwa Ulaya ni Cafe then Maicon halafu Dani Alves.

Kwa Afrika hakuna kama Shadrack Nsajigwa.
 
Keep other factors constant
Focusing only on the player's ability, qualities and performances,
Here are the best right backs in chronological order,
1. Allessandro Costacurta
2. Dani Alves
3. Lilian Thuram
4. Phillip Lahm
5. Cafu

ok thanx...
but Alesandro Billy Costacurta alikuwa beki wa kati aliesaidiana na nahodha Franco Baresi.
miaka hio Kulia alikuwa Mauro Tasotti na kushoto alikuwa Mtoto wa Kocha PM
 
ok thanx...
but Alesandro Billy Costacurta alikuwa beki wa kati aliesaidiana na nahodha Franco Baresi.
miaka hio Kulia alikuwa Mauro Tasotti na kushoto alikuwa Mtoto wa Kocha PM
The great Milan wall. Ukuta huo kupata goli ulihitaji uwe na uwezo wa Kariba ya Marco Van Basten au Diego Armando Maradona.
 
Back
Top Bottom