TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

TV4Sale Full HD brand new 32Inch TV kwa 345,000 Tu(Qled)

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
657
Reaction score
710
1 year warranty
345,000Tsh tu
Call-0753038470

Tupo kkoo mtaa wa ndands

IMG_20211213_121128_149.jpg
IMG_20211213_121134_632.jpg
 
Ninayo Sundar inch 43,full HD,smart tv,double screen,,ina Hotspot na Manicast, bei nzur 570000 tu,, kabisa bado mpyaaaa,,pia kuna dish na decoder ya Azam bei sawa na bure 110000

Mawasiliano na maelezo zaidi piga 0621047159
Samahani Mkuu, mna inch 39 au 43? Na kama mnazo bei zake zikoj
 
Ninayo Sundar inch 43,full HD,smart tv,double screen,,ina Hotspot na Manicast, bei nzur 570000 tu,, kabisa bado mpyaaaa,,pia kuna dish na decoder ya Azam bei sawa na bure 110000

Mawasiliano na maelezo zaidi piga 0621047159
Ni mpya au used Mkuu?
 
Mpyaaaaa,,nitumie namba yako ya whatsap kwenye hiyo namba yangu nikutumie picha na video,,ni mtu ana shida tuu ndo maana inauzwa,,lakin dukan ni laki 8
 
Sundar , Blackstone Na Mengine Yanatengenezwa Nchi Gani ?
 
Mpyaaaaa,,nitumie namba yako ya whatsap kwenye hiyo namba yangu nikutumie picha na video,,ni mtu ana shida tuu ndo maana inauzwa,,lakin dukan ni laki 8
Samahani Mkuu, me Namaanisha yani Mpya haijatumika kabisa au imetumika muda mfupi na ipo katika condition nzuri?
 
Samahani Mkuu, me Namaanisha yani Mpya haijatumika kabisa au imetumika muda mfupi na ipo katika condition nzuri?
Wewe sio mnunuzi maana ya biashara unawekewa mtandaoni ili kujua uhitaj wa wateja,,then unapewa contact,,sasa ww umepewa contact uwasiliane ili upewe maelezo yote unabaki unapiga siasa mtandaoni
 
Wewe sio mnunuzi maana ya biashara unawekewa mtandaoni ili kujua uhitaj wa wateja,,then unapewa contact,,sasa ww umepewa contact uwasiliane ili upewe maelezo yote unabaki unapiga siasa mtandaoni
Mkuu usipanick me nauliza kwakuwa najua biashara za mitandaoni zilivo na pia tunalitumia vibaya neno "MPYA" huwezi kujua kitu kama ni kipya kwa kuangalia picha yake au sura yake maana Kila mtu ana matumizi yake, wengine ni watunzaji wazuri na wengine sio watunzaji wazuri

Ulitakiwa uweke details zenye kueleweka ili kupunguza maswali ambayo unaona hayana maana, ukisema mpya kabisa unamaanisha nini? Sema imetumika kwa muda gani na iko katika hali gani, me nataka TV ndomana nataka kabla hujanitumia picha huko Whatsapp niwe nimeridhika na details zako, hadi kufikia hatua ya kuja Whatsapp niwe nishafanya maamuzi

Nilikuwa nauliza ili nijiridhishe juu ya maamuzi yangu, nimepata sehemu hiyo tv ikiuzwa 650000 so Kama mteja nilikuwa nataka kujua kama hiyo 570000 it's worth ili nisave some amount

kwahiyo Mkuu hauna haja ya kupanick na kuita watu sio wanunuzi eti kisa tu we unataka mteja aende unavotaka wewe, we weka details za kutosha na kupitia hizo details ndio mteja atahitaji picha za bidhaa km ataridhika, picha haiwezi kutoa jibu kitu kimetumika kwa muda gani ispokuwa ni maelezo yako
 
Back
Top Bottom