naonge kwa machungu sana kuona kwamba halmashauli ya jiji la mbeya walimu wapya mpaka leo hawajapata mishahara yao kama ilivyotegemewa hapo awali kama tanngazo la tamisemi lilivyotangazwa hapo awali
kitu nilicokiona hapa mbeya kama mwalimu mpya ni kwamba hawa maafisa utumishi ni wavivu wanazarau sana ni wazembe lakini pia wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali ni kama wanajari mitumbo yao tuu
yaani inasikitisha sana toka hela ya kujikimu nayo tuipata kimazabezabe tu yaani mpaka wasikie meandamana ndo wanaanza kuogopaogpa hivi yaaani system ni zaidi ya mbovu
Mshahara ni haki yenu kisheria unaruhusiwa kumshtaki mwajir wako kama hajakulipa mshahara wako
lakin nmeona walimu ndio mnalalamika sana sio ww tu hata walimu wakongwe
mjifunze kuwekeza
tatizo letu kubwa tunafikiria zaid hasara kuliko faida
Hii issue ya salary sio kwa walimu wapya na walimu kwa ujumla, bali ni watumishi wote ambao ni waajiriwa wa serikali mkoa mzima wa mbeya, hakuna salary....... Pambafuuuuuuu......