full majanga kwa walimu wa jiji la mbeya

full majanga kwa walimu wa jiji la mbeya

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
674
naonge kwa machungu sana kuona kwamba halmashauli ya jiji la mbeya walimu wapya mpaka leo hawajapata mishahara yao kama ilivyotegemewa hapo awali kama tanngazo la tamisemi lilivyotangazwa hapo awali

kitu nilicokiona hapa mbeya kama mwalimu mpya ni kwamba hawa maafisa utumishi ni wavivu wanazarau sana ni wazembe lakini pia wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali ni kama wanajari mitumbo yao tuu

yaani inasikitisha sana toka hela ya kujikimu nayo tuipata kimazabezabe tu yaani mpaka wasikie meandamana ndo wanaanza kuogopaogpa hivi yaaani system ni zaidi ya mbovu
 
Mshahara ni haki yenu kisheria unaruhusiwa kumshtaki mwajir wako kama hajakulipa mshahara wako
lakin nmeona walimu ndio mnalalamika sana sio ww tu hata walimu wakongwe
mjifunze kuwekeza
tatizo letu kubwa tunafikiria zaid hasara kuliko faida
 
Hii issue ya salary sio kwa walimu wapya na walimu kwa ujumla, bali ni watumishi wote ambao ni waajiriwa wa serikali mkoa mzima wa mbeya, hakuna salary....... Pambafuuuuuuu......
 
Mkoa wa mbeya migodi ishatema jioni hii............
 
Huwenda kunakitu kinaendelea, maana mpaka leo wafanyakazi wa serikali hawajapata stahili yao. Mie nipo Kyela.
 
Back
Top Bottom