FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

Hili ndo binafsi sihitaji kuliona ktk nchi. wanasiasa kudhania hata mambo ya magonjwa ni kazi yao kutuhutubia. mtu hana sifa anaamua tu kuandika na kuweka signature ya vyeo vya kisiasa ili tuamini ni sawa. Imefikia hatua watanzania ni watu wa kuhutubiwa na yeyote juu ya chochote. Bahati mbaya tunasikiliza kila kitu. Na hakuna asiye na wafuasi.

Mbowe hana sifa za kuzungumzia corona, Magufuli ana sifa hizo kwa nguvu ya kupata taarifa kutoka kwa maafisa wa serikali wanaohusika na taaluma hiyo. Ni vizuri sana wanasiasa watoapo hotuba hizo waandamane na wataalamu kama mganga mkuu wa serikali kujibu na kueleza mambo ya kitaalamu. Kwa ujumla wanasiasa hawana sifa za kuzungumzia undani wa COVID-19. Ifikie hatua kutoa hotuba iwe ni kazi ya wenye taaluma.

COVID ni suala la Kitabibu na siyo kila asiyeweza kukamatwa anatoa hotuba. Tungefurahi kama Chama Cha Madaktari kingetoa msimamo wake juu ya hili, kama limekuwa ni baya kiasi hicho. Lakini kujidai kutuhutubia na kukosoa na kupendekeza, ni kutafuta sifa za kijinga. Eti kiongozi wa kambi ya upinzani, so what?
 
Ni aibu kwa amiri jeshi mkuu kujificha wakati wa vita.
 
Na vile vile ni Aibu kwa Mtu Mpuuzi tu kama Wewe na huyo unayemtetea Kuficha Wanaougua huku mkikimbilia Vijijini mwenu!!
 
Uganda , Kenya , SA na Nigeria wamekufa wangapi kwa njaa .............pia mtofautishe curfew na Lockdown .......muwe mnajiongeza.........watu wanaweza kuendelea na taratibu za maisha kama kawaida kwa kuzingatia social distancing.....kuzuhia muingiliano kati ya maeneo ambayo ni corana virus epicenter na maeneo yasiyoathirika sana kukontroo community transimission pia victim tracing

Tulianza vizuri na victim tracing baada ya kupata mgonjwa wa kwanza ikishafeli lazima ufanye curfew ambayo ni partial lockdown na inakuwa na some limitation hasa muda wa kuwepo mtaani ,baadhi ya maeneo yanayotumiwa na watu wengi kupangiwa utaratibu maalumu wa watu kupata huduma mf sokoni na victim tracing ikiendelea changamoto ya hii inahitaji sana mass testing kwani mtu hakipimwa na kukutwa negative na kama anajielewa ataji-lockdown automatically.

Ikishindikana ndio tunaweza kwenda katika total lockdown
 
Umeandika point nilizokuwa nataka kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe Ni mpuuzi tu watakao msikiliza ni misukule yake tu wenye akili tunampuuza
 
Mbowe hajalazimisha lockdown huu ni upotoshaji mwingine, ameongelea mambo Mengi ya msingi ikiwepo bunge kutenga bajeti kwa ajili ya corono

Tatizo la nchi hii tunafanya propaganda Hadi kwenye Mambo ya msingi, lakin tusisahau corona haichagui wala kubagua inapiga kote kote in short hakuna aliye salama
 
Kakudanhanya Nan mkuu kwamba wamesah maliza kupima marekan Kuna watu wangap na wamesha pima wangap au na wewe unakuja kuongea ulio ambiwa na kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajamaliza lakin wanakaribia. Tofauti na sisi wao wanafanya massive testing ktk scale kubwa sana.
Hii ina include hata wale wanaoonekana ni wazima.
Sisi huku mpaka mtu awe na dalili au azidiwe ndio anafanyiwa vipimo.
Kuna tofauti kubwa sana hapa. Wenzetu wana uwezo.. sisi bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yako Ayo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hyo lock down ndo dawa ya corona?.
Mbona China wagonjwa bado wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
China wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa just by lock down.
Lock down yao imedumu almost two month.
Leo hii wanafungua mji baada ya maambukizi kupungua kwa asilimia kubwa sana.
Wasingejiweka lockdown hali ingekuwa mbaya zaid kuliko walivyotangaza mwanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe nae ashauri mambo ya msingi anajua kabisa Serikali haina pesa halafu kakazania watu wajifungie....
Serikali haina pesa wakati mmenunua ndege kwa cash, miradi yote mikubwa inajengwa kwa pesa za ndani?!!!

Au mnajitia wendawazimu wa kutembea uchi mkijiona mmevaa nguo!!!

Zile tirions za barrick zipo wapi?
Je hii siyo donner country?

TUONDOLEENI USHENZI WENU HAPA.
speech ya Bowe mtu anayetakiwa kuichamba ni kichaa peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…