Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
SAFI SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuheshimu uhuru wa kuamini kwa watu na mataifa mbalimbali, vita dhidi ya Corona ni ya kisayansi na siyo ya kidini. Kutegemea Rehema za Mungu bila kuchukua tahadhari na mikakati ya kisayansi, kibajeti, kielimu na ushirikishwaji umma ni udhaifu mkubwa wa Watawala ambao utawalazimisha kubeba lawama huko tuendako. Ni wajibu wa Watawala kutambua kuwa mapambano dhidi ya janga hili yanahitaji elimu na ushirikishwaji. Ni mzigo wa pamoja kati ya wafanya maamuzi (decision makers) na watekelezaji wa maamuzi (decision takers).This is very great. A Great Leader!
Unaona kabisa kuna brain hapa inafanya kazi!
Du akili yako imefikia level hii.Kaandika hotuba kirefu..
Kuhusu usiri Wa wagonjwa Wa Corona yeye mwenyewe Mbowe alificha tasrifa za corona nyumbani kwake had I mkuu Wa mkoa alipomwibua kuwa kwa Mbowe kuna corona hakuita press kuwaambia kwangu kuna corona na mtoto tumemfungia ndani badala ya kupeleka hospital!!!! Usiri unaanzia kwake !!!
Kuhusu mikusanyiko nilitarajia aseme bunge lisiendelee na vikao lakini kakomaaa tu ohh bunge lijadili !!!!! Posho anaona atakosa!!! Kwa hiyo bunge liendelee na mijadala as usual!!!!
Mnafiki mkubwa
Bavicha mnafurahisha sana. Mwana FA aliposema ameongea na raisi,mlimtukana na kusema ametumwa. Leo Sultani kasema kaongea na raisi,mnamwita nabii.Nimesikiliza, nimechoka, GREAT! Mbowe ana akili sana! Mbowe ni Kiongozi! siyo mtawala! Mbowe ana maono. Mbowe ni "Nabii"!
DuhMbowe ni Hazina ya dunia
Habari ndio hiyo ! ukizuia corona kwenu umeokoa dunia , nyungu haina msaada wowote
Bila siasa hawezi kupambana na Corona, otesha nywele kwenye kipara chako ili uwe na akili na busara.Kila kitu ni siasa alitakiwa atoe ushauri kama mtanzania bila kujiingiza kwenye mazonge ya ccm na chadema!
Kuna uhakika au una quote maneno ya Makonda ambaye nae amepata CORONA amejifichaKaandika hotuba kirefu...
Kuhusu usiri Wa wagonjwa Wa Corona yeye mwenyewe Mbowe alificha tasrifa za corona nyumbani kwake had I mkuu Wa mkoa alipomwibua kuwa kwa Mbowe kuna corona hakuita press kuwaambia kwangu kuna corona na mtoto tumemfungia ndani badala ya kupeleka hospital!!!! Usiri unaanzia kwake !!!
Kuhusu mikusanyiko nilitarajia aseme bunge lisiendelee na vikao lakini kakomaaa tu ohh bunge lijadili !!!!! Posho anaona atakosa!!! Kwa hiyo bunge liendelee na mijadala as usual!!!!
Mnafiki mkubwa
Hakuna Genius mwanasiasa duniani, Ila sishangai ukiangalia michango ya watu wengi humu JF na ukaona wanajiita Great Thinkers, yawezekana kwa level ya uelewa wako Mbowe akawa genius. Na wengi watakupa like kumwita genius ndo kudhibitisha nilichomaanisha hapa.
Sasa kaizuia vipi Corona kapata dawa au Kinga [emoji23]Habari ndio hiyo ! ukizuia corona kwenu umeokoa dunia , nyungu haina msaada wowote
Mafala sana hao... nimeitafuta sana hii hotuba.. hata @thebaptist alificha vitu vingine..Azam TV wameonesha kipengele ambacho kamuongelea mwanae tu. Clouds 360 wameonesha kipengele ambacho kaongelea kuhusu kuongea na Rais tu. Point za msingi hawakuonesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam TV wameonesha kipengele ambacho kamuongelea mwanae tu. Clouds 360 wameonesha kipengele ambacho kaongelea kuhusu kuongea na Rais tu. Point za msingi hawakuonesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Analysis yako ni nzuri sana, tena sana. Hongera sana kwa this presentation.Kizuri zaidi umejibu hoja and not ad hominen arguments as most of Lumumba guys do! Mapungufu ya presentation yako ni haya, vitu ambavyo didi not cross your mind:Serikali inawataka watu wote:-
Kwa ufupi seriakali imekuwa muumini wa utengamano (multi method) katika kupmbana na janga Corona
- kuchukua tahadhari kuepusha maambukizi kwa kunawa mikono mara kwa mara; kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima (SAYANSI + ELIMU)
- imetoa bajeti yote ya mbio za mwenge na sherehe za muungano na kuzipeleka kupambana na corona (KIBAJETI)
- imewataka watu kusali kila mtu kwa imani yake (KIIMANI)
Haya mwa sayansi koko Wewe kijifukizia sio scientific MTU akipata corona dawa ya corona inaitwaje iliyogunduliwa na wanasayansi kibaraka Wa dawa za wazungu Wewe? Tutajie dawa waliyoigundua hao wazungu wako?Kujifukiza is very unscientific, unacceptable not to be encouraged by a national leader in a deadly, quite deadly disease