FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

Hakuna lolote. Wanaufipa wanasifu kisa kaongea baba.

Kuhusu ushirikishwaji msahau. Eti hoo task advisory? Kukusanya picha ndio task force advisory. Ni upuuzi hakuna wa kuwasikiliza muendelee kutoa taarifa zenu uchwara.

Shame on you.
 
This is very great. A Great Leader!
Unaona kabisa kuna brain hapa inafanya kazi!
Pamoja na kuheshimu uhuru wa kuamini kwa watu na mataifa mbalimbali, vita dhidi ya Corona ni ya kisayansi na siyo ya kidini. Kutegemea Rehema za Mungu bila kuchukua tahadhari na mikakati ya kisayansi, kibajeti, kielimu na ushirikishwaji umma ni udhaifu mkubwa wa Watawala ambao utawalazimisha kubeba lawama huko tuendako. Ni wajibu wa Watawala kutambua kuwa mapambano dhidi ya janga hili yanahitaji elimu na ushirikishwaji. Ni mzigo wa pamoja kati ya wafanya maamuzi (decision makers) na watekelezaji wa maamuzi (decision takers).
Uhakiki wa Taarifa
Taarifa hii siyo sahihi
sababu
Serikali inawataka watu wote:-
  1. kuchukua tahadhari kuepusha maambukizi kwa kunawa mikono mara kwa mara; kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima (SAYANSI + ELIMU)
  2. imetoa bajeti yote ya mbio za mwenge na sherehe za muungano na kuzipeleka kupambana na corona (KIBAJETI)
  3. imewataka watu kusali kila mtu kwa imani yake (KIIMANI)
Kwa ufupi seriakali imekuwa muumini wa utengamano (multi method) katika kupmbana na janga Corona
 
Kaandika hotuba kirefu..

Kuhusu usiri Wa wagonjwa Wa Corona yeye mwenyewe Mbowe alificha tasrifa za corona nyumbani kwake had I mkuu Wa mkoa alipomwibua kuwa kwa Mbowe kuna corona hakuita press kuwaambia kwangu kuna corona na mtoto tumemfungia ndani badala ya kupeleka hospital!!!! Usiri unaanzia kwake !!!

Kuhusu mikusanyiko nilitarajia aseme bunge lisiendelee na vikao lakini kakomaaa tu ohh bunge lijadili !!!!! Posho anaona atakosa!!! Kwa hiyo bunge liendelee na mijadala as usual!!!!
Mnafiki mkubwa
Du akili yako imefikia level hii.

Kutangaza ni hukumu la wizara ama COVID19 task force. Na ugonjwa wa mtu hautangazwi. Sasa ukitaka Mbowe aje kusema kwamba mwanae anaumwa? Ingawa bado kimaadili bado hawezi kumsemea mtu mwenye umri zaidi ya miaka 18, hivyo aliyeugua ndio angelasw akusema.

Endeleeni " ugonjwa ukianza kukamua...." By Lema
 
Nimesikiliza, nimechoka, GREAT! Mbowe ana akili sana! Mbowe ni Kiongozi! siyo mtawala! Mbowe ana maono. Mbowe ni "Nabii"!
Bavicha mnafurahisha sana. Mwana FA aliposema ameongea na raisi,mlimtukana na kusema ametumwa. Leo Sultani kasema kaongea na raisi,mnamwita nabii.
Mbona mna kigeugeu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini na nitaendelea kuamini kuwa kwa ccm hii Tanzania haitakuja isonge mbele.
Na hasa 2015 ni mwaka wa kujuta.... makosa makubwa yalifanyika pale Dodoma.
 
Hotuba imeeleweka vizuri sana.
Ni juu ya serikali kipokea ushauri na kuufanyia kazi.
Hatupo tayari kufa kizembe (nyungu,fukiza et al) tupa kule
 
Kaandika hotuba kirefu...

Kuhusu usiri Wa wagonjwa Wa Corona yeye mwenyewe Mbowe alificha tasrifa za corona nyumbani kwake had I mkuu Wa mkoa alipomwibua kuwa kwa Mbowe kuna corona hakuita press kuwaambia kwangu kuna corona na mtoto tumemfungia ndani badala ya kupeleka hospital!!!! Usiri unaanzia kwake !!!

Kuhusu mikusanyiko nilitarajia aseme bunge lisiendelee na vikao lakini kakomaaa tu ohh bunge lijadili !!!!! Posho anaona atakosa!!! Kwa hiyo bunge liendelee na mijadala as usual!!!!
Mnafiki mkubwa
Kuna uhakika au una quote maneno ya Makonda ambaye nae amepata CORONA amejificha
 
Wivu wa kike huo sema na ww uckike
Hakuna Genius mwanasiasa duniani, Ila sishangai ukiangalia michango ya watu wengi humu JF na ukaona wanajiita Great Thinkers, yawezekana kwa level ya uelewa wako Mbowe akawa genius. Na wengi watakupa like kumwita genius ndo kudhibitisha nilichomaanisha hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inawataka watu wote:-
  1. kuchukua tahadhari kuepusha maambukizi kwa kunawa mikono mara kwa mara; kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima (SAYANSI + ELIMU)
  2. imetoa bajeti yote ya mbio za mwenge na sherehe za muungano na kuzipeleka kupambana na corona (KIBAJETI)
  3. imewataka watu kusali kila mtu kwa imani yake (KIIMANI)
Kwa ufupi seriakali imekuwa muumini wa utengamano (multi method) katika kupmbana na janga Corona
Analysis yako ni nzuri sana, tena sana. Hongera sana kwa this presentation.Kizuri zaidi umejibu hoja and not ad hominen arguments as most of Lumumba guys do! Mapungufu ya presentation yako ni haya, vitu ambavyo didi not cross your mind:
1. Serikali ilibidi kuweka mechanism on how to enforce those methods. Lazima uweke namna ya kusimamia sheria. Hizo ni sheria zimetungwa with no enforcement!
2. Serikali emphasis kubwa imewekwa kwenye kusali. This is very wrong! Very wrong.
3. Kujifukiza is very unscientific, unacceptable not to be encouraged by a national leader in a deadly, quite deadly disease!
4. Kutoweka some sort of a modified lockdown to suit our environment in our epicentre of infection ni kosa kubwa.
FINALLY, LACK OF SERIOUSNESS...Even from casual observations, unaona kuwa rais is completely not serious with this killer! Misemo kama KAUGONJWA KADOGO, NI MAFUTA YANAYEYUKA while the whoe world is at a standstill due to kagonjwa kadogo, mafuta! Nikipata hotuba ya Museveni juzi kwa Uganda people, nitakuwekea uisikilize. Nilishangaa anajua hata Immunology.virology... seriousness aliyonayo imenfanya ajue hata basics za immunology/virology

chukua hatua, watu wanaisha, watu wanakufa. Jilinde, akili za kuambiwa.........
 
Kujifukiza is very unscientific, unacceptable not to be encouraged by a national leader in a deadly, quite deadly disease
Haya mwa sayansi koko Wewe kijifukizia sio scientific MTU akipata corona dawa ya corona inaitwaje iliyogunduliwa na wanasayansi kibaraka Wa dawa za wazungu Wewe? Tutajie dawa waliyoigundua hao wazungu wako?

Mzungu anasema nyama mbaya Masai ankula mbuzi mzima eke yake hapati gout uumwa miguu wala matatizo apatayo mzungu akila nyama nyingi sababu Masai anajilia dawa sake ambaxo hats mkemia mkuu hazijui na hajawahi zidhibitisha

Mimi binafsi msomi na kujifukizia najifukiizia na kwenye maombi.kwa mwamposya naenda na kukanyaga mafuta ya upako nakanyaga nikiwa kifua mbele

Kaa na ujinga wako wa kudhatau chako cha waafrika wenzio ikiwemo tiba
 
Back
Top Bottom