FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

Ni hotuba nzuri na kwa wakati muafaka, hongera Mh. Mbowe!

Ni wakati sasa viongozi na Serikali wathamini uhai na maisha ya Watanzania kuliko vitu na siasa. Uchumi sio kipimo pekee cha kujenga hoja za hatua stahiki za kuchukua kipindi hiki. Maana mpaka sasa biashara nyingi zimedorora na kuathiri uchumi (hasa wa mtu mmoja mmoja na kaya). Pia kulinda maslahi za kisiasa kama umaarufu nk sio kigezo sahihi mbele ya uhai na maisha ya Watanzania.

Ni kweli kuwa mpaka sasa Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa katika kushughulikia, kuchambua, kutoa taarifa na maamuzi yenye weledi na tija - hasa kwenye leadership & political willness. Hilo halina mjadala. Lakini si vibaya kujifunza pale mtu ulipokosea na kujirekebisha bila aibu wala chenga; kwa hiyo basi muda uliopo utumiwe vizuri ili kurekebisha kasoro na mapungufu yote yaliyojitokeza bila hiana wala vitisho. Natambua kuwa suala la Covid 19 ni tata na gumu, lakini bado ni wajibu wa Serikali yetu (mstari wa mbele) na wananchi mmoja mmoja (mstari wa pili) kuchukua hatua zote za msingi kujilinda wasiambukizwe wala kuambukiza. Mpaka sasa awareness ni ndogo mno miongoni mwa wananchi, hilo ni bomu jingine.

Nikiri wazi kuwa bado sijaelewa hasa msingi na faida ya kuficha-ficha takwimu na hali halisi ya; visa/maambukizi, kupona na vifo vya Covid 19! Maana huko mitaani watu wanazo takwimu "halisi na ngumu" za ndugu na majirani zao wanaougua na kufariki, na wanaougua na kupona; hizo hazichakachuliki na adhari yake ni mbaya na kubwa kuliko kama wangeambiwa ukweli moja kwa moja na Serikali, na ambapo huenda wangechukua tahadhari zaidi. Yaani taharuki ya yanayotokea mitaani ni mbaya (iko out of control) kuliko kama Serikali ingekuwa wazi na shirikishi zaidi.Katika mazingira hayo habari za uvumi & uongo hutamalaki kwa vile umma hauna tabia wala uwezo wa kuthibitisha/kupima unachosikia, badala yake hu react.

Na wauguzi na wafanyakazi wa afya wajengewe uwezo na mazingira ya kutekeleza kazi yao ili kuokoa maisha ya waathirika. Budi tupaze sauti zetu sasa maana historia itatuhukumu, time is always a just judge. Tukosoe na kushauri, tushiriki na kutenda kwa ajili ya uhai wetu, familia zetu, jamii zetu na nchi yetu.

Nimalizie mchango wangu wa mwezi hivi:-
"If you do not plan to succeed then (automatically) you are planning to fail"

"It is never too late to right the wrong"
 
Katika vitu huwa vinafanya umtambue mtu hekma yake na uelewa wake ni pamoja na mitizamo yake. Kiukwel mh MBOWE hakutakiwa kushawishi njia ambayo kila mtu ameanza kuiacha kuitumia kwa kutokuonesha matunda yoyote mazuri

Ukiwa Kama kiongozi mkubwa unaeota siku moja kuwa kiongozi wa nchi hutakiwi kuonesha ujinga mbele ya wananchi unaowategemea wakuamini ili baadae wakupe dhamana ya kuwaongoza.

Kiongozi muda huu wa matatizo hatakiw kuonekana kua anataka kutumia matatizo ya wananch wake ili ajinufaishe kwa maslai yake. Ukiwa Kama kiongozi hutakiw kuatarisha maisha ya unae muogoza kwa njia yoyote Ile na inatakiwa utoe haki sawa kwa levo zote.

Yeye Kama kiongozi hakutakiwa kulazimisha serekal ifanye Lock down Kwan hii ni njia moja hatari Sana kwa raia maskini Kwani hata ukisema wapewe pesa hujui janga litaisha Lini na serikali itatoa pesa mpaka Lini? Na vipi baada ya Corona watanzania wataishije au mfano wewe ukiwa umesha chukua nchi utaiongoza vip bila pesa? Si ndio itakuwa hospitali madawa hakuna. Miundombinu kuwa mibovu. Njaa kibao watu kukosa mishahara Yao na matatizo mengine. Au unataka Hali iweh ivi

Wewe Kama kiongozi mkubwa umeshindwa kuelimisha watu njia nzuri na muhim Sana ambayo inaenda kutumiwa na watu wengi. Kiongozi ulitakiwa uanze kutoa elimu kwa nguvu zote ya kuelimisha watanzania kuhakikisha wanajikinga kwa kuvaa mask na kuosha mikono kila wakati Kinga ambayo ingeweza kulinda maskini na tajiri wote kwa wakati mmoja ulitakiwa ulazimishe serikali labda ihakikishe inagawa barakoa kwa raia bure na sanitizer ili kujikinga na Sio kuforce watu wakae ndan ok tuseme serikali imefata Kama mnavyotaka watu wakae ndani Ila vipi wale watu ambao mitaji Yao inategemea yeye kuwa kwenye mizunguko vipi lock down ikiisha na chakula Cha bure kutoka serikalini kika stop umeshawaza huyo mtu ataanzaje upya Maana baadh ya kazi za watanzania wengi zinataka kila siku uwepo ukimiss hata siku moja unakuwa umesha toka kwenye Ramani

Viongozi wote TANZANIA mlitakiwa muwe namba moja kusimama na raia na siku kusimama kupingana na hoja za rais. Tarehe moja Trump katangaza kuwa ndio mwisho wa Lock down watu watatembea Ila wavae barakoa na wawe wanasafisha mikono Yao Sasa nchi Kama Marekani inayoongoza kwa vifo na wagonjwa imeona Lock down haisaidii Ila inaharibu watu uchumi na akili wewe kiongozi wa juu Tanzania kila siku unalilia lock down au ndio mtoto akililia wembe muache umkate

Kwanini msianze kulia ofisi yenu inayowapatia posho kila siku ifungwe. Na japo kuwa tayari mmesha wapoteza wapendwa wenu wawili umo humo ndani lakini mnajifanya Kama hamuoni ila macho yenu yote yanaona Kariakoo na feli watu wanapojipatia Mia mbili mbili zao ingekuwa kweli mnataka nchi isiingie matatizoni kwa njia ya Lock down mngekuwa mnapigia debe ofisi yenu ifungwe Kama mnavyo pigia debe vitu vingine.

Tanzania ndio nchi pekee Kuna baadhi ya watu wanaweza kujikinga Corona kwa barakoa na kunawa mikono wengine hawawezi njia hiyo ila wao wafungiwe ndani mpaka ugonjwa utakapo Isha

Kiongozi Kama kiongozi Sasa hivi hutakiwi kupambana na hoja za rais kisa kuogopa kumpa credit Ila unatakiwa kuungana na rais ili kusaidia wananchi kiongozi yoyote Yule TANZANIA anatakiwa nguvu aelekeze kwenye barakoa na sanitizer au maji kutirirka na hii ndio njia sahihi wanayo umia China India na nchi zingine lock down ni usanii tu MAREKANI alifungia watu ndani akiwa na wagonjwa 1230 na vifo 270 angalia takwimu leo zinasemaje

Ahsanteni
 
Ni mpumbavu pekee anayeweza kufananisha USA na Tz. Wenzetu wanapima mpaka 100k kwa siku sisi sijui wanane alafu unakuja kusema mbna USA wamefanya locdown maambukizi na vifo ni vingi? Unajua idadi ya maambukozo Tz?

Wenzetu wanatoka locdown coz wameshachukua measures tyari ikiwepo na mass testing. Wanatoka lockdown coz wameshafurmigate miji yao. Tz imefanya nini?

Mbna huongelei china. Si ilikuwa lockdown je sasa ipo lockdown? Vifo vimeendelea?

Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe ili kupeleka ngombe shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila lockdown MAREKANI , Italy, Spain na kwingineko hali ingekuwa mbaya sana. Ni swala la muda tu. Wote wanaokataa Lockdown hapa Tanzania watajionea kwa macho yao au wao wenyewe kutangulizwa na COVID19.

Kwa sasa wananchi wengi bado hawajafikiwa na Barakoa na Vitakasaji na haitawezekana. Njia rahisi ni Lockdown. Inaumiza kiuchumi, Lakini inaokoa maisha.

Hakuna mbadala wa maisha ya Mtanzania hata mmoja. MBOWE YUPO SAHIHI. NA FIKRA ZA LOCKDOWN NI SAHIHI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kwenye hotuba ya KUB ameshauri mambo mengi sana sio lockdown peke yake; in short ile hotuba imeshiba; ni hotuba bora kabisa duniani kuhusiana na janga la corona; ni level ya PhD thesis ya best student iliyosimamiwa na jopo la distinguished professors from distinguished universities! Na ukiangalia mataifa duniani yanachezea mule mule kwenye hotuba ya Mbowe kupambana na COVID-19.
 
Kakudanhanya Nan mkuu kwamba wamesah maliza kupima marekan Kuna watu wangap na wamesha pima wangap au na wewe unakuja kuongea ulio ambiwa na kusikia
Ni mpumbavu pekee anayeweza kufananisha USA na Tz. Wenzetu wanapima mpaka 100k kwa siku sisi sijui wanane alafu unakuja kusema mbna USA wamefanya locdown maambukizi na vifo ni vingi? Unajua idadi ya maambukozo Tz?

Wenzetu wanatoka locdown coz wameshachukua measures tyari ikiwepo na mass testing.

Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe ili kupeleka ngombe shule.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa upinzani wanajidai wanawapenda watz lakini ni siasi, kuongoza nchi si mchezo hasa nchi masikini na changamoto ni kwenye magonjwa makubwa ya miripuko kama haya, ni bora corona kuliko njaa hatukaa ndani kujikinga na corona ilihali tuna njaa tutatoka tu, au tukae ndani kisha uchumi wetu uwe mbaya zaidi itakuwaje tutao baki tutabaki hakuna magonjwa yaliyo wahi kuua watu nchi nzima, we will fight until last breath...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lockdown ! ulisikiliza au ulisimuliwa ........mnatutesa sana tusiokuwa biased na siasa zenu za vyama ......hasa kipindi hiki cha hatari .........kuna vitu vingi vya kufanyia kazi katika hotuba hiyo ..............kuna jina wanaitwaga chadema kuwa ni manyumbu lakini naanza kuona inawezekana CCM ndio kuna manyumbu hasa ..........mnatushosha sana tulio nyutro na siasa zenu za maji taka ANGALIENI AFYA ZA WATANZANIA KWANZA
 
Lock down haijazuiliwa... jiwekee mwenyewe na familia yako..

Serikali haimzuii mtu kujifungia nyumbani kwake..

Usitake kulazimisha unachotaka wewe wote wafanyiwe katika nchi huru..

Jifungie mwenyewe kama unataka lock down
 
kwa hyo lock down ndo dawa ya corona?.
Mbona China wagonjwa bado wapo.
Ni mpumbavu pekee anayeweza kufananisha USA na Tz. Wenzetu wanapima mpaka 100k kwa siku sisi sijui wanane alafu unakuja kusema mbna USA wamefanya locdown maambukizi na vifo ni vingi? Unajua idadi ya maambukozo Tz?

Wenzetu wanatoka locdown coz wameshachukua measures tyari ikiwepo na mass testing. Wanatoka lockdown coz wameshafurmigate miji yao. Tz imefanya nini?

Mbna huongelei china. Si ilikuwa lockdown je sasa ipo lockdown? Vifo vimeendelea?

Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe ili kupeleka ngombe shule.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vitu hua vinafanya umtambue mtu hekma yake na uelewa wake ni pamoja na mitizamo yake. Kiukwel mh MBOWE hakutakiwa kushawish njia ambayo kila mtu ameanza kuiacha kuitumia kwa kuto kuonesha matunda yoyote mazur

Ukiwa Kama kiongozi mkubwa unae ota siku moja kua kiongozi wa nchi hutakiw kuonesha ujinga mbele ya wananch unao wategemea wakuamin ili baadae wakupe dhamana ya kuwaongoza.

Kiongozi muda huu wa matatizo hatakiw kuonekana kua anataka kutumia matatizo ya wananch wake ili ajinufaishe kwa maslai yake. Ukiwa Kama kiongozi hutakiw kuatarisha maisha ya unae muogoza kwa njia yoyote Ile na inatakiwa utoe haki sawa kwa levo zote. Yeye Kama kiongozi hakutakiwa kulazimisha serekal ifanye Lock down Kwan hii ni njia moja hatar Sana kwa raia maskin Kwan hata ukisema wapewe pesa hujui janga litaisha Lin na serekal itatoa pesa mpaka Lin? Na vip baada ya Corona watanzania wataishije au mfano wewe ukiwa umesha chukua nchi utaiongoza vip bila pesa?
Sindio itakua hospital madawa akuna
Miundo mbinu kua mibovu
Njaa kibao watu kukosa mishahara Yao na matatizo mengine. Au unataka Hali iwe ivi

Wewe Kama kiongozi mkubwa umeshindwa kuelimisha watu njia nzuri na muhim Sana ambayo inaenda kutumiwa na watu wengi. Kiongozi ulitakiwa uanze kutoa elim kwa nguvu zote ya kuelimisha watanzania kuakikisha wanajikinga kwa kuvaa mask na kuosha mikono kila wakati Kinga ambayo ingeweza kulinda maskin na tajir wote kwa wakati mmoja ulitakiwa ulazimishe serekal labda ihakikishe inagawa barakoa kwa raia bure na sanitizer ili kujikinga na Sio kufos watu wakae ndan ok tuseme serekal imefata Kama mnavyo taka watu wakae ndan Ila vip wale watu ambao mitaji Yao inategemea yeye kua kwenye mizunguko vip lock down ikiisha na chakula Cha bure kutoka serekalin kika stop umesha waza uyo mtu ataanzaje upya Mana baadh ya kazi za watanzania wengi zinataka kila siku uwepo uki Miss hata siku moja unakua umesha toka kwenye Raman

Viongozi wote TANZANIA mlitakiwa mue namba moja kusimama na raia na siku kusimama kupingana na hoja za rais. Tar moja Trump katangaza kua ndio mwisho wa Lock down watu watatembea Ila wavae barakoa na wawe wanasafisha mikono Yao Sasa nch Kama marekan inayo ongoza kwa vifo na wagonjwa imeona Lock down haisaidii Ila inaharibu watu uchumi na akili wewe kiongozi wa juu Tanzania kila siku unalilia lock down au ndio mtoto akililia wembe muache umkate

Kwann msianze kulia ofisi yenu inayo wapatia posho kila siku ifungwe. Na japo kua tayar mmesha wapoteza wapendwa wenu wawil umo umo ndani lakini mnajifanya Kama hamuon ila macho yenu yote yanaona kariakoo na feli watu wanapo jipatia Mia mbil mbili zao ingekua kwel mnataka nch isiingie matatizon kwa njia ya Lock down mngekua mnapigia debe ofisi yenu ifungwe Kama mnavyo pigia debe vitu vingine.

Tanzania ndio nchi pekee Kuna baadh ya watu wanaweza kujikinga Corona kwa barakoa na kunawa mikono wengine hawawezi njia io ila wao wafungiwe ndani mpaka ugonjwa utakapo Isha

Kiongozi Kama kiongozi Sasa iv hutakiw kupambana na hoja za rais kisa kuogopa kumpa credit Ila unatakiwa kuungana na rais ili kusaidia wanach kiongozi yoyote Yule TANZANIA anatakiwa nguvu aelekeze kwenye barakoa na sanitizer au maji kutirirka na hii ndio njia sahihi wanayo tumia China India na nchi zingine lock down ni usanii tu MAREKAN alifungia watu ndani akiwa na wagonjwa 1230 na vifo 270 angalia takwim leo zinasemaje
Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa ufipa hawataki kusikia hili hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mpumbavu pekee anayeweza kufananisha USA na Tz. Wenzetu wanapima mpaka 100k kwa siku sisi sijui wanane alafu unakuja kusema mbna USA wamefanya locdown maambukizi na vifo ni vingi? Unajua idadi ya maambukozo Tz?

Wenzetu wanatoka locdown coz wameshachukua measures tyari ikiwepo na mass testing. Wanatoka lockdown coz wameshafurmigate miji yao. Tz imefanya nini?

Mbna huongelei china. Si ilikuwa lockdown je sasa ipo lockdown? Vifo vimeendelea?

Nyie ndyo wazazi waliuza ngombe ili kupeleka ngombe shule. Hat

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya msingi je total lockdown inawezekana kwa nchi kama Tz? Hata WHO imetoa ushauri kuwa kila nchi ipambane na huu ugonjwa kulingana na hali ya uchumi na mazingira yaliyopo. Sio kuiga kama alivyoshauri mmiliki wa Cdm.
 
Back
Top Bottom