FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Hahaaa!! Mahakama ni kuthibitisha uhuni, unayo macho so ona acha kujizipa macho.
Baadhi ya wahuni hupendelea issue hata kama ni ya wazi kiasi gani ipelekwe kule, kwa sababu ya fedha inakuwa rahisi kutoa hukumu yoyote ile kwa mujibu wa fungu la mafedhwa.
 
Spika alifanya unforgivable mistake ya kumtaka Mpina athibitishe uongo wa waziri tena akampa na muda kabisaa(kama sheria inavyotaka kwa mujibu wa maelezo yake spika)!

That was a colossal mistake,sometimes akili nyingi mbele giza kama wasemavyo waswahili.Spika alijitia kujua sana kumbe matokeo ya ujuaji yanakuja kumwaga unga wa waziriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bashe wakati yupo nje alikuwa anaona kweli....kaingia uwanjani katoa assist kwa Mpinzani...kachoma
 
Kwa haya madudu kampuni za namna hii zikipata Viongozi makini wanaosimamia Sheria kama John Magufuli au Luhaga Mpina lazima watafute huruma kwa Wananachi ( walalamike ) kuwa wanaonewa.
 
Mbunge Luhaga Mpina kafanya kazi aliyo elekezwa aifanye.Ni kazi nzuri inayostahili pongezi.

Sasa sijui ni wabunge wangapi ndani ya Bunge hili wenye uwezo wa kufanya kama alivyofanya mbunge huyu.
 
Moderator mbona mmeunganisha uzi wa figganigga na huu??

Ingekua vyema uzi wa figganigga ukawa peke yake.
Mbona kama kuna kitu mnaficha??
Maana huu uzi ndio kosa la Mpina mpaka kaitwa, ila ule wa jamaa umechimba kilichokusudiwa na Mpina kifike kwa hadhira na bunge.

Ila ninyi JamiiForums mmeupachika huku ili usionekane bali lionekane kosa
Mngekua waungwana kama uzi wa figganigga ukawekwa pale chini ya video
 
Mpina yupo sahihi sana lakini kwa sasa vita atakayopigwa Mungu aingilie kati
 
Hahaaa!! Rudia kusikiliza vzr. Mpina alitoa kauli bungeni kuwa waziri bashe kalidanganya bunge, spika akamuomba kuleta ushahidi kwake kuthibitisha kuwa bashe alilidanganya bunge!! Wapi kuna jambo la mahakama hpo?
Mpina alitoa kauli bungeni kuwa waziri bashe kalidanganya bunge, spika akamuomba kuleta ushahidi
 

Kama kawaida yao, Wazanzibar wanatumia vikampuni uchwara kufanya ufisadi Tanganyika
 
Yani kampuni inasajiliwa january 2024 halafu baada ya mwezi inapewa kibali cha kuagiza sukari tena kuwashinda viwanda ambavyo vipo toka miaka ya 60πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Kwenye hili ni wazi hii ni kampuni ya BasheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au ya mtu mkubwa
 
Correct
 
Kwa summary yako mzee wa la saba kweli umeelewa. Bottom line ni kwamba wanatengeneza tatizo la uhaba wa Sukari kwa kuchelewesha vibali huku wakijua kitakuwa kipindi cha mvua, hivyo watengenezaji watashindwa kutenegeneza Sukari kumeet demand ya nchi, then baadae wakatengeneza mazingira ya wale walioruhusiwa kisheria kuagiza sukari nje (wale wenye viwanda vya sukari) wapewe short deadline ya kuagiza na kuingiza Sukari (almost two weeks wakati inatakiwa more than a month). Waliposhindwa the planned deadline, ikajengwa hoja sasa turuhusu privates waagize, na sio tu waagize kiasi stahili bali kiasi cha kuagiza kikawa inflated na kuzidishwa kuliko estimate sahihi iliyotolewa na mamlaka husika.

Kama haitoshi akaelezea financial implication ya vitendo hivyo. Kwa hiyo mzee wa la saba nakukubali umeweza kugundua in summary the real cause. Hii sukari kama wakitaka inaweza kuuzwa hata shillingi 1,500 Tsh kwa kilo ila ni watu wachache wanainflate price ili kupiga mabillioni hayo.Nchi ya ajabu sana. Kibaya anayewafumbua macho ndiye anahangamizwa kama mhalifu
 
Protectionism 101, jamaa si wazalendo kabisa. Hakuna nchi yeyote iliyowahi kuendelea kwa kutokulinda viwanda vya ndani. Ni mambo ya ajabu sana kwa kweli.
Bashe anasema, ni sawa mashamba ya miwa yakibadilishwa kuwa ya mpunga, hajui ajira za Watz zitakuwaje viwanda vikifungwa, haangalii quality ya sukari yetu Kwa AFYA ya Watz ukilinganisha na sukari fake ya GMO inayoongeza magonjwa ya ini na cancer Kwa Watz,

Alitakiwa awe lockup Kwa kauli hizo, lakini anakingiwa kifua.
 
nasimama na mpina ni wa moto,majizi ya ccm bado yanajiuliza hivi kweli huyu ni mwenzetu
 
Hili tatizo la sukari lipo miaka mingi sana nchini. Nakumbuka hata waziri Idi Simba lilimsumbua wakati wa Mkapa. Kuna hela nyingi sana kwenye hii kitu.

Dawa yake ni sisi wananchi kuacha kutumia sukari. Tutafute alternative yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…