FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Taarifa ya Mpina imeshiba sana. Amefanya kazi ya kutosha, na nina imani kuna wazalendo wengi walioudhiwa na ufisadi wa Bashe, wameshiriki kuiandaa taarifa hii.

Lakini kwa kuwa mafisadi wanalindana, si ajabu ukasikia kuwa taarifa ya Mpina imetupwa, na yeye Mpina kutakiwa kuliomba msamaha hili Bunge bandia.
 
Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Hizi siyo shutuma. Huu ni uovu uliothibitishwa kwa vielelezo. Labda waseme kuwa vielelezo hivyo vimegushiwa.
 
Km hujaviverify unasemaje ni fake?? Anaiogopa kwani umemwambia apeleke akashindwa? Si ninyi ndo mlimwambia apeleke bungeni (bunge la wananchi ndo maana akaamua kuwapa wananchi kwanza)
Aliambiwa nanspika apeleke mahakamani akagoma. Au hujui kama kamati ya maadili ya bunge ni mahakama kisheria? We msomi wapi! Au wa SAUT
 
Mbona mimi pia nina akili lakini nimeona alichofanya mpina ni chap popularity na alilenga kumdhalilisha rais. Najua ni akina bashiru wanaomtima mpina wala siyo yeye. Bado ana hasira ya kuwa katibu mkuu kiongozi wa wiki moja
Hahaaa!! Kwani rais anahusika hd alengwe kudhalilika?? Bado hamjasema mpaka mseme wizi wenu mtaficha hd lini?? Mnasimama bungeni kutoa taarifa za uongo wakiwaumbua mnamhusisha rais
 
Hahaaa!! Rudia kusikiliza vzr. Mpina alitoa kauli bungeni kuwa waziri bashe kalidanganya bunge, spika akamuomba kuleta ushahidi kwake kuthibitisha kuwa bashe alilidanganya bunge!! Wapi kuna jambo la mahakama hpo?
Kuanzia ujue na uww na akili timamu. Kamati ya maadili ya bunge ni mahama kisheria. Mbunge akiambiwa apeleke ushahidi kule maana yake anapelekamahakamani. Unahitaji kusoma sana kujua mambo usiww unabish atu bila kujua chochote
 
Back
Top Bottom