Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Fresh ila taarifa zimewafikia na watanzania wenye akili tumeona.Ndo sasa asubili adhabu mana kila umaarufu una gharama zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fresh ila taarifa zimewafikia na watanzania wenye akili tumeona.Ndo sasa asubili adhabu mana kila umaarufu una gharama zake
Uhuni hawezi kuuona mpina. Uhuni wa mtu anayeweza na amepewa mandate kuuona ni mahakama siyo mpinaUshahidi kwa spika na si kamati acha kuchezesha midomo. Spika ndo anaupeleka kwa kamati. Alijua nchi imejaa wahuni ndo akaamua aweke wazi
Nchi haiwezi kuendesha kwa janja janja za wahuniNdo sasa asubili adhabu mana kila umaarufu una gharama zake
Hahaaa!! Mahakama ni kuthibitisha uhuni, unayo macho so ona acha kujizipa macho.Uhuni hawezi kuuona mpina. Uhuni wa mtu anayeweza na amepewa mandate kuuona ni mahakama siyo mpina
Mbona mimi pia nina akili lakini nimeona alichofanya mpina ni chap popularity na alilenga kumdhalilisha rais. Najua ni akina bashiru wanaomtima mpina wala siyo yeye. Bado ana hasira ya kuwa katibu mkuu kiongozi wa wiki mojaFresh ila taarifa zimewafikia na watanzania wenye akili tumeona.
Kwa hiyo tuzifite mahakama tuanze kujiongoza wenyewe tu? Toa maoniHahaaa!! Mahakama ni kuthibitisha uhuni, unayo macho so ona acha kujizipa macho.
Yes futa! Mbona spika hakusema ushahidi upelekwe mahakamani kama yeye hasikilizi wala kuamua.Kwa hiyo tuzifite mahakama tuanze kujiongoza wenyewe tu? Toa maoni
Hizi siyo shutuma. Huu ni uovu uliothibitishwa kwa vielelezo. Labda waseme kuwa vielelezo hivyo vimegushiwa.Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Vielelezo ni fake. Nani wa kiverify vielelezo zaidi ya mahakama? Mbona anaiogopa mahakamaHizi siyo shutuma. Huu ni uovu uliothibitishwa kwa vielelezo. Labda waseme kuwa vielelezo hivyo vimegushiwa.
Km hujaviverify unasemaje ni fake?? Anaiogopa kwani umemwambia apeleke akashindwa? Si ninyi ndo mlimwambia apeleke bungeni (bunge la wananchi ndo maana akaamua kuwapa wananchi kwanza)Vielelezo ni fake. Nani wa kiverify vielelezo zaidi ya mahakama? Mbona anaiogopa mahakama
Aliambiwa nanspika apeleke mahakamani akagoma. Au hujui kama kamati ya maadili ya bunge ni mahakama kisheria? We msomi wapi! Au wa SAUTKm hujaviverify unasemaje ni fake?? Anaiogopa kwani umemwambia apeleke akashindwa? Si ninyi ndo mlimwambia apeleke bungeni (bunge la wananchi ndo maana akaamua kuwapa wananchi kwanza)
Hahaaa!! Kwani rais anahusika hd alengwe kudhalilika?? Bado hamjasema mpaka mseme wizi wenu mtaficha hd lini?? Mnasimama bungeni kutoa taarifa za uongo wakiwaumbua mnamhusisha raisMbona mimi pia nina akili lakini nimeona alichofanya mpina ni chap popularity na alilenga kumdhalilisha rais. Najua ni akina bashiru wanaomtima mpina wala siyo yeye. Bado ana hasira ya kuwa katibu mkuu kiongozi wa wiki moja
Mpina mbona ndo mwizi sasa au hujui.Hahaaa!! Kwani rais anahusika hd alengwe kudhalilika?? Bado hamjasema mpaka mseme wizi wenu mtaficha hd lini?? Mnasimama bungeni kutoa taarifa za uongo wakiwaumbua mnamhusisha rais
Hahaaa!! Rudia kusikiliza vzr. Mpina alitoa kauli bungeni kuwa waziri bashe kalidanganya bunge, spika akamuomba kuleta ushahidi kwake kuthibitisha kuwa bashe alilidanganya bunge!! Wapi kuna jambo la mahakama hpo?Alisema upelekwe mahakani labda kama akili yako ni ndogo hukusikia.
Hahaaa!! Umesema wa kuthibitisha ni mahakama, hili umelitoa wapi? Ndo maana nasema wahuni mnateteana hd kwenye upuuziMpina mbona ndo mwizi sasa au hujui.
Kuanzia ujue na uww na akili timamu. Kamati ya maadili ya bunge ni mahama kisheria. Mbunge akiambiwa apeleke ushahidi kule maana yake anapelekamahakamani. Unahitaji kusoma sana kujua mambo usiww unabish atu bila kujua chochoteHahaaa!! Rudia kusikiliza vzr. Mpina alitoa kauli bungeni kuwa waziri bashe kalidanganya bunge, spika akamuomba kuleta ushahidi kwake kuthibitisha kuwa bashe alilidanganya bunge!! Wapi kuna jambo la mahakama hpo?