FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Kichwa cha habari kimejieleza, kuna jambo lipo nyuma ya pazia HUSSEIN BASHE VS MWIGULU kwanini wanalindwa na Ikulu.
Tulitegemea mpaka sasa Bashe ameondolewa na Mwigulu tupaze sauti kukataa hawa wezi wa taifa.
Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
 
Mbona mpiga shoo ya kulawiti hakusubiri mahakama?? Mbona ya Gekul hakusubiri mahakama? Undezi nao ni mzigo sana
 
Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Kipimo Cha busara kinaenda na matendo.

Mtu anae uza bandari, Misitu, n k atatoa wapi hizo busara na kushughulika na fisadi?
 
Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Kumbe ndo wewe mtetea waombeaji wa utajiri bila kufanya kazi.
 
Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Samia mwenyewe akiona hii coment yako atakudharau sana.
 
Kipimo Cha busara kinaenda na matendo.

Mtu anae uza bandari, Misitu, n k atatoa wapi hizo busara na kushighulika na fisadi?
Leta risit ya mauzo. Hiyo ndo journalism ambayo samia alikuwa anakemea leo. Watanzani mmekuwa fake journalists. Nani kakwambia samia aliuza bandari? Leta risit au agreement za mauzo.
 
Nazungumzia kumtoa mtu kwenye madaraka ya uwaziri. Alisubiri mahakama kuamua?? Mbona unajibu kama HAMNAZO!! (Utakuwa shabiki wa yanga wewe) utani tu watani zangu yanga
Amtoe kwa sababu gani. Shutuma za uongo ndo zimtoe uwaziri. Samia hayuko hivyo. Mnapaswa mmuelewe rais siyo mkurupukaji kama jpm
 
Kichwa cha habari kimejieleza, kuna jambo lipo nyuma ya pazia HUSSEIN BASHE VS MWIGULU kwanini wanalindwa na Ikulu.
Tulitegemea mpaka sasa Bashe ameondolewa na Mwigulu tupaze sauti kukataa hawa wezi wa taifa.
Nusu ya fedha za wizi zinapelekwa huko!! Mapesa anayohonga honga Abduli source yake ni hiyo
 
Nimesoma kwa utulivu nikarudia tena...Yaan kuna watu wanafiki duniani dah?Yaan bashe akiwa anaongea anaongea kwa uchungu kumbe ni bonge la snich Big up Mpina ..naomba uingie tena chimbo kuna waziri wa matozo nae anajifanya mzarendoooo ila mm sijawahi kumuelewa njoo na faili lake lililo editiwa 😎
 
Katika genge nani ni msafi na sio mwizi ? Wote wanakula kila kitu sababu hawana kamba
 
Back
Top Bottom