FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Taarifa za ndani, kutoka jumba jeupe Hussein Bashe atakiwa kujiuzuru, lakini yeye amegoma hivyo mkeka muda wowote unatoka, pia Kinana anamkingia kifua lakini soon majibu yatapatikana.
Tuwe watulivu kipindiiki iki kigumu ambapo nchi inapita katika tanuru la moto.
Wako wengi
 
Kwani kuna nini mbona mwenyewe yupo zake anakula bata ..
 
Taarifa za ndani, kutoka jumba jeupe Hussein Bashe atakiwa kujiuzuru, lakini yeye amegoma hivyo mkeka muda wowote unatoka, pia Kinana anamkingia kifua lakini soon majibu yatapatikana.
Tuwe watulivu kipindiiki iki kigumu ambapo nchi inapita katika tanuru la moto.
Sio tanuru ni tanuri.
 
Mpina amemkalia kooni, lakini naona spika anamkingia kifua kimtindo kwa kumtaka mpina awajibike kwenye kamati ya maadili.
Mwisho kabisa kuna mawili yatatokea ambayo ni Mpina kusimamishwa kushiriki bungeni kwa muda kadhaa ama Bashe atajiuzulu
 
Kama makusanyo ya kumalizia SGR hayatoshi ndo namna tunaingia kusaka pesa kwa nguvu. Muda mwingine tunakaa mezani na kutafakari wapi tupate pesa kiasi fulani hata km kinawaumiza wananchi.
 
Back
Top Bottom