FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Luhaga Mpina ndiye mbunge mwenye akili kuliko wote katika bunge la sasa .
Nope. Wako wengine. Ni mazingira ya maslahi tu yamekaaje.

Halafu kwenye mambo kama hayo pembeni kuna “think tank” za kujitegemea zenye maslahi zinazojiconnect kikamilifu na wanasiasa muafaka hata wa upinzani ikibidi kuwasilisha “mabomu” kwa watawala.
 
'Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe wakati akichangia hoja ya Waziri wa Fedha kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Bungeni alisema uongo mara 18, kama ilivyoainishwa katika maelezo na ushahidi wa vielelezo' Luhaga Mpina
Mara 18 kwenye hotuba 1 nadhani ni rekodi ya Dunia
 
Hii kazi ya kuwaumbua wanaosema uongo bungeni ilifanywa vizuri sana na Wabunge makini wa chadema. Shetani moja likachukia , likahujumu uchaguzi na kuweka mapandikizi bungeni . Speech nzito zilizosheheni ushahidi zilimwagwa na akina Lissu,. Majizi yalitumia miongozo feki kujaribu kuficha ushahidi . Naona bi mkora anajaribu kutaka kutisha na kuficha ushahidi. Mpina sio kichaa mpaka kuamua kwenda public. Alijua ushahidi utafichwa
 
Luhaga Mpina ndiye mbunge mwenye akili kuliko wote katika bunge la sasa .
Nakubali shida hawa majuha watamuua au kumfanyia jambo lolote la hovyo huyu Bashe alitakiwa awe jela sa hivi kwanza sio Mtazania haya mambo ya kuchagua wabunge wakimbizi mpaka siku tuje kuuzwa wazimawazima,Unakuta majitu meusi hata kiswahili hayakijui vizuri ila Mbunge ni muhindi typically wala hana hata familia yake jimboni hapo hili nalo mpaka tupelekwe darasani!!!! Kiukweli inatia uchungu sana kuzaliwa katika jamii ya kipumbafu kama hii
 
Hana nia yoyote Njema Bashe na sielewi kwa nini jizi na fedhuli kama huyu anapewa wizara hivi kweli Nchi nzima hatuna vijana wazalendo mpaka tuongozwe na jitu ambalo sio mzawa???
Yani ana maneno ambayo akiwambia wasiofuatilia mambo unakuta huku mtandaoni wanamsifu ila jamaa hana uzalendo wowote. Ukiwauliza mpaka sasa kafanya kitu gani jibu hawana.
 
Taarifa za ndani, kutoka jumba jeupe Hussein Bashe atakiwa kujiuzuru, lakini yeye amegoma hivyo mkeka muda wowote unatoka, pia Kinana anamkingia kifua lakini soon majibu yatapatikana.
Tuwe watulivu kipindiiki iki kigumu ambapo nchi inapita katika tanuru la moto.
 
Back
Top Bottom