FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Kuanzia ujue na uww na akili timamu. Kamati ya maadili ya bunge ni mahama kisheria. Mbunge akiambiwa apeleke ushahidi kule maana yake anapelekamahakamani. Unahitaji kusoma sana kujua mambo usiww unabish atu bila kujua chochote
Hakuna mahakama za namna hiyo Tanzania. Hiyo ni kamati ya maadili ya bunge na si mahakama ya bunge. Mahakama ni mhimili mwingine tofauti ndyo maana hata wao yakiwashinda bungeni kama wale covid 19, inapelekwa bungeni. Acha kupotosha umma. Hiyo kamati ni sawa na kamati za kijijini kwenu za baraza la usuluhishi na si mahakama.
 
Kama tungekuwa na misingi ya kubishana kwa hoja,Mpina angeibuka shujaa kwa maana kaweka na reference. Atakey mpinga ampinge kwa reference. Ila ndio ataitwa ataambia chama chake hakipendi kukosolewa, japo anacho kiongea kina picha ya ukweli.
 
Wadanganyika tumeumbiwa kudanganyika. Hakuna wa kukaa na kuangalia uhalisia wa jambo nyeti la nchi, mtu anakaa na kuwaza huyu mleta ushahidi wapi kakosea nimbane ili wa namna hii (waibua maovu) wakome.
 
Acha kurukaruka!! Bashe yuko kitanzini ninyi mteteeni tu na kwa hili atachomolewa na waovu lkn werevu tushaona kumbe kutaja BBT n.k ni wizi mtupu
Akili zenu ndogo sana. Mnaingea ongea tu na kuokoteza vihabari vya akina mpina ambavyo havina ushahidi wowote. Aende mahakamani sasa kama hataaibika huko.
 
Akili zenu ndogo sana. Mnaingea ongea tu na kuokoteza vihabari vya akina mpina ambavyo havina ushahidi wowote. Aende mahakamani sasa kama hataaibika huko.
Naona ushakuwa mahakama tayari na kujua ataaibika kwa kufeli mahakamani. Wenzio wamepekenyua kila kitu sasa bashe aje na nyaraka kuonesha utaratibu ulikuwa clear tuone. Mwizi ni mwizi tu
 
Huu ushahidi hata asie enda shule lazima tu aelewe.

Tulia ameshindwa nini kuelewa?
Kuna watu waliaema humu kuwa Mpina hana ushahidi, anabwabwaja tu.

Kashuka nondo hadi mimi darasa la saba nimeelewa.

Sukari Tanzania si tatizo. Tatizo ni serikali haitaki tupate sukari ya kutosha na kwa bei nafuu.
Halafu jitu linakuja hapa eti hoo mama amefungua nchi wakati anashinda angani huku tukiteseka kulipa kodi kubwa za mapato, halafu wajanja wanazitafuna kirahisi hivi.
 
Ni muhimu naye waziri wa kilimo Mheshimiwa Bashe atoke hadharani ajibu hoja za Mheshimiwa Luhaga Mpina, hoja moja baada ya nyingine na kwa vielelezo ,ili UKWELI ufahamike na uwe wazi .na atakaye bainika kuwa muongo basi hatua zichukuliwe .kama ni Mheshimiwa Mpina basi asimamishwe ubunge kwa muda fulani kupitia kanuni za bunge.lakini ikibainika Mheshimiwa waziri anamakosa ya kuhujumu nchi, basi ajiuzulu haraka sana na hatua zingine za kisheria zifuate ikiwa ni pamoja na ulipaji wa pesa zote ambazo serikali ilikosa kama mapato yake halali.
 
Kuna wakati saa mbovu husema muda sahihi! Hongera sana kwa hekima hii, njia uliyopitia endelea kuipita itakupa hekima sana.
 
Kwa gekul ni madeleka ndo kapeleka kesi mahakamani. Na we jitolee upeleke mahakamani
Hivi mkuu huwa unawaza kwa kutumia nini?

Mahakama umeona ni kijiwe cha kupigia soga, kila mtu anaweza kwenda tu kupumzika pale, si kuna taasisi za kisheria Takukuru nk, walioajiriwa kwa niaba ya wananchi kufuatilia mambo kama hayo?

Haya masuala unayoyashadadia ni ya Kibunge yanayohusu uwajibikaji siyo ya kisheria na hata hivyo jambo linalofanyikia Bungeni huwa halipelekwi mahakamani.

Emb kuwa serious na comments zako basi!
 
Hivi mkuu huwa unawaza kwa kutumia nini?

Mahakama umeona ni kijiwe cha kupigia soga, kila mtu anaweza kwenda tu kupumzika pale, si kuna taasisi za kisheria Takukutu nk walioajiriwa kwa niaba ya wananchi kufuatilia mambo kama hayo?

Haya masuala unayoyashadadia ni ya Kibunge yanayohusu uwajibikaji siyo ya kisheria na hata hivyo jambo linalofanyikia Bungeni huwa halipelekwi mahakamani.

Emb kuwa serious na comments zako basi!
Jamaa boya tu, anahisi kila kitu kinatetewa kwa mihemko. Anaanza kuniaminisha eti spika alimuamuru kupeleka ushahidi huo mahakamani (kwa shauri lipi lililofunguliwa huko?).
 
Acha kurukaruka!! Bashe yuko kitanzini ninyi mteteeni tu na kwa hili atachomolewa na waovu lkn werevu tushaona kumbe kutaja BBT n.k ni wizi mtupu
Samaia leo kasema.watanzania wengi hamna akili. Mnapenda taarifa zenye ukakasi. Hampendi mtu afafanue ndo mana bashe kaka kimya ameshajua watanzania wakoje
 
Samaia leo kasema.watanzania wengi hamna akili. Mnapenda taarifa zenye ukakasi. Hampendi mtu afafanue ndo mana bashe kaka kimya ameshajua watanzania wakoje
Hili nalo litapita. Kwa hyo bashe alishaambiwa na rais toka trh 14 kuwa usifafanue kwa kuwa hawatokuelewa. Mwambie BASHE nae afafanue kwa ukakasi. Sijui kama rais ametumia hilo neno la WATANZANIA WENGI HAWANA AKILI.
 
MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU WAZIRI WA KILIMO MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI LEO TAREHE 14 JUNI 2024.

MHE. SPIKA,
Sasa huyu ndiye mwakilishi wa wananchi, huyu ndiye Mbunge. Ila kwa sababu anatetea wananchi, wawakilishi wa wananchi wengine watampiga chini kwa kuonyesha uhimara na kutetea wananchi ambao wengine wanalipwa mamilioni kwa sababu walitakiwa wawatetee wananchi ambao Mpina anawatetea.
 
Back
Top Bottom