Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Nimepita mtaaani huku mkoani Rukwa kila kona watu wapo katika redio wafanyabiashara wadododo maarufu kama machinga wamepanga bidhaa zao huku kila mmoja akifuatilia hotuba za zitto kupitia Radio

naona hadi katika pub watu wamejaa kama ambavyo huwa wanaangalia mpira.
 
Zitto na kombati lake!! hajaloose focus pamoja na ups and down zote.
 
hapa nina uhakika wabunge km john komba,kusinde na maji marefu wanatoka empty hapa coz taarifa imekaa kisomi na kitaalamu sana.(sina nia mbaya lakini)

Hahahaah,,,,,kweli kabisa, maana hao uliowataja sometimes vichwa vyao sijui huwa vinakuwaje.
 
JF kiboko jamani. Niko visiwa vya Caribbean nampata Zito. Nashukuru sana. UsSTREAM.
 
Back
Top Bottom