Mbona kila wanapotaka kumtaja PINDA mitambo inakata?
Nimepita mtaaani huku mkoani Rukwa kila kona watu wapo katika redio wafanyabiashara wadododo maarufu kama machinga wamepanga bidhaa zao huku kila mmoja akifuatilia hotuba za zitto kupitia Radio
Duh! Hatuwezi kujenga University japo mbili tu.kodi imepotea billion 8!
Badala yake wamelipa elfu 60....hii nchi hiii.....
Mpira umeanza angalia tbctafadhar latiba ya uef. mwenye kujua
Anza kuchukua mazoezi,kula sana matango nahis uko mbele BP inaweza panda..Msaada please natetemeka while listening to PAC report sijui y
Teh teh teh ninacheka lakini ni ukweli kuwa jambo hili linasikitisha sana na kukera mno.Kumbe nchi ipo mfukoni mwa mtu.tena mfuko wa shati kama pakit ya sigara.man nina zenu CCM
hapa nina uhakika wabunge km john komba,kusinde na maji marefu wanatoka empty hapa coz taarifa imekaa kisomi na kitaalamu sana.(sina nia mbaya lakini)