Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

yaani hii nchi ni shida kuna watu wakatili na wana roho za kishetani ndo hao viongozi wachumia tumbo

Hawana huruma kwakweli wanna nchi wana hali duni wengine kula ni shida wao wanapeana kiulani watu mahospitalini wanakufa hamna dawa hawa majizi wawajibishwe na wafilisiwe wananyanyasa wananchi
 
Natamani Zitto angemalizi huyu kapooza sana ananikosesha hamasa
 
Kama serikali iliganzika kiasi cha kuruhusu sh B. 300. Nami nimeganzika
 
Sasa Kafulila alipwe haki yake ya ile kesi yake
 
kwa scandal hii ninaamini team lowasa for president! meno yako nje maana wamepata kashfa mwenza ndani ya magamba,
lakini mimimnasema Hui ndio muelekeo was ccm shimoni ukawa kazeni Uzi kuwahimiza wananchi kujiandikisha katika uchaguzi was serial I za mitaa
 
Nimeshuhudia tundu Lissu akimpigia makofi zitto kabwe na kumpatia mkono wa pongezi mara baada ya kumaliza kusoma report PAC, siasa tamu sana

Hata mie nimeona nikashangaa maana leo wamemuona anafaa. Shame on him (Tundu Lisu)
 
Deo Filikunjombe huwa hafeli sina wasiwasi naye acha awachimbie kaburi kenge hawa
 
Back
Top Bottom