Zitto ni kijana shupavu sana. Uchambuzi wa ripoti ya CAG unaweza kufanywa na wabunge wachache kwa umahili wa namna hii. Sikupendezwa (binafsi) na tuhuma za Zitto kutumika na MaCCMwigulu. Zitto nadhani ajiweke sawa, kwa akiri makosa kama alifanya na aape kutokutumika tena arudi CHADEMA akapige kazi. Nitafurahi kama Zitto ataweza kumaliza mgogoro na CHADEMA.
Mtu mwenye akili ya kawaida anaweza kuhoji ni jinsi gani Zitto alikuwa anatumika na hali anafanya kazi na timu kubwa ya CCM na Zinazokwenda against na almost ku-destroy image ya CCM. Zitto atapotea kama Sitta alivotaka kujipotezea CCJ kabla hajajipoteza mwenyewe kwenye katiba mpya.