Du, yaani jambo lilianza km mchezo, leo limesababisha hata folen hamna, watu wako kwa tv wanafuatilia.
Mie leo namkubali Zitto kwa uzalendo
niko mtimbwilimbwi hatuna umeme nipe updeti wangu
Mie leo namkubali Zitto kwa uzalendo
Itabidi tumfikirie kumrudisha maana adhabu ya kumtenga imemtesa sana. Kwa leo ameamua kurudisha jina ambalo lilianza kupotea.zitto ana ongea kwa confidende na zile kombati za cdm ana pendeza kweli daah sema ndio hivyo tena hatu mtaki cdm.
zitto ana ongea kwa confidende na zile kombati za cdm ana pendeza kweli daah sema ndio hivyo tena hatu mtaki cdm.
Ngoja nitulie nasikiliza kupitia tbc redio
Kusoma hayo majina ni kuzidi kupoteza mda