waziri mkuu sasa daah gunia la misumali.
Mkuu kuna yale matransaction ambayo hayaonyeshi beneficiaries, hapo ndipo TAKUKURU wanapoingia kiuchunguzi na kufuatilia ili kujua hizo pesa zilienda kwa watu gani. Watatambulika tu.Hapo kwenye kusubiri Takukuru ndio ninapoona tunapotezwa maboya...
Ripoti inataja wakubwa wachache sana na sasa naona katajwa AG Werema pia...
Namna gani hapa Pinda anataka kulia
Muhongo huwa anatumia ukali kama kinga,hana lolote yule,acha akakamate chaki