Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Hapo kwenye kusubiri Takukuru ndio ninapoona tunapotezwa maboya...

Ripoti inataja wakubwa wachache sana na sasa naona katajwa AG Werema pia...
Mkuu kuna yale matransaction ambayo hayaonyeshi beneficiaries, hapo ndipo TAKUKURU wanapoingia kiuchunguzi na kufuatilia ili kujua hizo pesa zilienda kwa watu gani. Watatambulika tu.

Kamati ya bunge isingeweza kufika huko ama CAG naye asingefika huko. Madaraka hayo yapo kwa TAKUKURU
 
Hivi zile kurasa zilizonyofolewa zimesomwa wajameni?
 
Maoni ya kamati Pinda awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi
 
Hongera CAG na PAC pamoja na wale wote waliojitolea kusema ukweli.
 
Hakika mgagaa na Upwa Ali wali mkavu .mtoto wa mkulima Bye Bye
 
...Watanzania hatuna imani tena na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
 
Majina Deo majina baba...huku mtaani tumewasikia wengi buanaaaa
 
Back
Top Bottom