Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

leo kuna watu hawotopata usingizi,sipati picha Mzee wa miamba
 
Tusubiri,THE REVENGE kesho.
kuna watu wataumbuka hapa.
 
hatimae bunge laahirishwa hadi kesho saa 3 asubuhi
 
Bunge litaendelea kesho, watuhumiwa wamepewa muda wa kujitafakari na kuandika barua za kujiuzuru.

LOWASSA COME BACK.
 
Fedheha iliochanganyika na aibu kubwa mno.

Pesa hizi ukiziendekeza!
 
Habari za Escrow zimeshaisha, Watanzania kesho watakuwa wamesahau

Bunge limeahirishwa tu we kijana, kauli ya serikalina mjadala ni kesho....

Leo ulikuwa ni uwasilishwaji tu wa ripoti ambayo kwa kiasi ni ushindi kwani wapo waliotaka hata hii ripoti isisomwe...
 
Ukweli umebainika, sasa tumewajua wezi wetu, je, tutawafanya nini? Upepo utapita.
 
Mkuu majina yalioyoonekana yametajwa yote hata Saliboko katajwa, Kimiti katajwa, Kilaini katajwa, chenge katajwa, mama wa TRA katajwa, prof. Tibaijuka katajwa.
 
Wakati mwingine naipenda nchi hii.!

LOWASSA COME BAAAACKKKKKKK!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…