Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jk is the failed president
Habari za Escrow zimeshaisha, Watanzania kesho watakuwa wamesahau
ningependa baraza lijalo likodisheBaraza la Mawaziri linaenda kuvunjwa....
Yesu Kristo alipokaribia kukata roho alisema imekwisha! Escrow imekwisha na imemaliza. Kokoro limelamba
Wala haisemi kama hela za escrow ni za umma ama iptl,wanasema sehemu sasa sehemu how much?Ila ripoti ina mapungufu kidogo. Haijasema nani Tumbili.
Mkuu majina yalioyoonekana yametajwa yote hata Saliboko katajwa, Kimiti katajwa, Kilaini katajwa, chenge katajwa, mama wa TRA katajwa, prof. Tibaijuka katajwa.Benki ya Mkombozi inaonesha majina isipokuwa ile ya Benki ya Stanbic haina majina zaidi ya nambari za akaunti pekee...
Ilipaswa walau majina yawe wazi hata kwa wabunge pekee maana hakuna sababu ya kuwatuhumu kwa kuwaficha hao wakwapuaji waliopewa fedha na JR...