Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Chafya aaaaaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza Foxy, Msalani,gsu, Simiyu Yetu, na vilaza wengine wa Lumumba kuja kipande hii!Msisahau kumshtua East African Eagle
Namna gani umeme unakatwa hapa Mwanza,
Tulia hapahapa JF hakikisha device yako ina chaji ya kutosha.
Hawa akina ZITTO jana usiku hawajalala wamekesha ofisi za bunge kulinda report yao, ila maisha yake bila shaka yatakuwa matatani. Akumbuke kilichomkuta MWAKYEMBE
Eti mtoto wa mkulima,mstaarabu machoni......
Kumbe moyoni anatisha hata gaidi anaafadhali..
kumbe hela ni zetu!!
safi ZZK hakikisheni hakuna panya anayesalia!!
wametulia wakifuatilia kwa makini.