Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Alishasema mwenye uwezo ampeleke mahakamani.
Chenge ni mwepesi kama pamba, akisogezwa mahakamani anaweza kumalizia maisha yake yaliyobaki gerezani. Lakini, nani wa kumsogeza huko mahakamani?!
 
Magufuli kafika mahali amegota, kama kweli alikuwa na nia ya kuwakomboa watanzania basi acheze kama Putin. 2020 akagombee ubunge Chato amwachie Dokta urais. Rekebisha katiba ili waziri mkuu awe makamu wa rais kutupunguzia utitiri wa viongozi wasio na tija.

Ndani ya miaka ya 2 ya uongozi wa Dr Tanzania itakuwa level nyingine. I can bet on this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…