Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

Full Time: 4 Yanga Vs 0 Njombe Mji uwanja wa Uhuru Dar, Ligi kuu Tanzania bara

Tunapenda kufurahi kila leo ili sura zetu zizidi kunawiri Babu. [emoji85] [emoji85].

Huko kwingine presha tupu ndio sababu tumewaachia wanaume ndio muwe wengi huko. Hahahaaa.
Haya mama. Okwi anakusalimu...
 
Ila hawa yanga tuache ushabiki hamna mpira wowot wanaocheza yaan team kubwa kama hii iko nyumban dhidi ya njombe mji ila inashindwa hat kupiga pass NNE mfululizo za uhakika yaana njombe mji wanacheza kama wapo sabasaba
Kwani mkuu unataka magoli au show game ?, hujausoma tu mpira wa Yanga ni hatari kuliko hata wa mikia fc. Uliza mabenk wa timu pinzani wanavyopata shida kuikaba Yanga
 
Back
Top Bottom