Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Mpira Wa bongo!¡!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mama. Okwi anakusalimu...Tunapenda kufurahi kila leo ili sura zetu zizidi kunawiri Babu. [emoji85] [emoji85].
Huko kwingine presha tupu ndio sababu tumewaachia wanaume ndio muwe wengi huko. Hahahaaa.
Yameshafika matatu Mkuu.Tushapata goli
Mwambie kesho namtegemea ailambe na Ice cream.Haya mama. Okwi anakusalimu...
Kwani mkuu unataka magoli au show game ?, hujausoma tu mpira wa Yanga ni hatari kuliko hata wa mikia fc. Uliza mabenk wa timu pinzani wanavyopata shida kuikaba YangaIla hawa yanga tuache ushabiki hamna mpira wowot wanaocheza yaan team kubwa kama hii iko nyumban dhidi ya njombe mji ila inashindwa hat kupiga pass NNE mfululizo za uhakika yaana njombe mji wanacheza kama wapo sabasaba
Kwa Yanga hawezi kukupaNjombe hebu tupeni raha basi...
[emoji109] [emoji109]Mwambie kesho namtegemea ailambe na Ice cream.
Hahaaa. Waambie hao.Kwani mkuu unataka magoli au show game ?, hujausoma tu mpira wa Yanga ni hatari kuliko hata wa mikia fc. Uliza mabenk wa timu pinzani wanavyopata shida kuikaba Yanga
Hongera mtani.. Moyo ulikuwa unakudunda
Hongereni, naona leo mnacheeeeeeeka.
Njombe ni kama Toto Africa. Afadhari Coastal Union imepanda daraja.Kwa Yanga hawezi kukupa
Si sanaaa. Sababu dalili za ushindi nilikuwa naziona.Hongera mtani.. Moyo ulikuwa unakudunda
Kabisaaaaa. Mtani mpaka jino la mwisho hapa.Hongereni, naona leo mnacheeeeeeeka.