Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
FT : 0-0 ,Mi naombea yapatikane magoli 2 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FT : 0-0 ,Mi naombea yapatikane magoli 2 tu
[emoji3][emoji3][emoji3]Hii ndo tulitalijia Al Ahly tuliona pila lao zidi ya makolo tukaona hapa hna timu Kiko wapi Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu asiguse comment yangu
Pole sana,ndo wameshatolewa BossKila la heri Al ahly, nawaombea ushindi dhidi ya mamelodi
Defence game sababu ya advantage ya aggregatehawa masandawana walienda kurukaruka tu uwanjani
Al Ahly hajawahi kumfunga Mamelody iwe kwake au popote pale.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mshindi wa tatu ni Simba vs Al Ahly.
Ndio unavyojifariji kwa mtindo huu?Sawaa, ila al ahly ndio mfalme wa afrika, mwenye makombe lukuki, huyo mamelodi hamna kitu
Makolo hapo hasira zote zitamuishia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshangaa hii mie wallahPenati ya mchongo walahi
Sijaona umuhimu wa VAR, ilikua inachagua upande wa kutazama makosa.VAR imesaidia sana kwenye hii league, hakuna figisu.
Yaan leo kabebwaa mchana kweupeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni aibu kwa team kubwa kama al ahly kubebwa kila mechi.
Hii ndo tulitalijia Al Ahly tuliona pila lao zidi ya makolo tukaona hapa hna timu
07 seven games 0 win🤣Sawaa, ila al ahly ndio mfalme wa afrika, mwenye makombe lukuki, huyo mamelodi hamna kitu
VAR ilikuwa kwa ajili ya Al AhlySijaona umuhimu wa VAR, ilikua inachagua upande wa kutazama makosa.
AaaaahaaaMakolo yote yamekimbia zizini