Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

kwamba kipa amehongwa aachie hilo goli

kwa goli lile hata ukisema wamehongwa wanakushanga

Kwa moto wa kilimugisha unathubutu vp kusema amehongwa mtu
Soma uelewe mkuu kabla hujajibu, Wapi nimesema amehongwa? Mbona sentensi ipo wazi.
 
Hawa jamaa waliwafungaje yanga 0-2 Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…