Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Tutakutana na wewe tukupe show kama hii ya mchongoMchongo huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakutana na wewe tukupe show kama hii ya mchongoMchongo huu
Kwakweli kocha anabebwa na kikosiHuyu kocha wala asishangilie, ni bahati tu tuna kikosi cha dhahabu ila hana lolote.
😄😄😄😄Mchongo huu
Sio kweliKwakweli kocha anabebwa na kikosi
Ushindi wa aina yoyoteYanga wanatakiwa kumfunga mwarabu ngapi Dar?
Kila mtu na bahati yake...Huyu kocha wala asishangilie, ni bahati tu tuna kikosi cha dhahabu ila hana lolote.
Muda kama ana fatigueHivi inakuwaje Mudathir anaanza mbele ya duke Abuya
Hata moja tu linatoshaYanga wanatakiwa kumfunga mwarabu ngapi Dar?
Mmeanza kuandika pumba, hivi unafikiri mtaifunga MC Alger?Niliwahi kusema zile mechi mbili za mwanzo tuifungwa wkt tunapitia kipindi kigumu lkn sasa kila aliyetufunga tunammaliza sasa
Daaah 🤣🤣🤣 em muacheni bwanaaHeri Shame alone kuliko Ahoua
Waja mna maneno sana, sasa huyo kocha si ndio kapanga hicho kikosiHuyu kocha wala asishangilie, ni bahati tu tuna kikosi cha dhahabu ila hana lolote.
No offense: Wale waliocheza na mazembe ?? Au wengineMmeanza kuandika pumba, hivi unafikiri mtaifunga MC Alger?
Itakuwa lini hiyo mechi?Tukutane kwa Mkapa na Mc Alger 💛💚💪
Full time CAF CHAMPIONS LEAGUE YANGA 1-00000000IBENGE
hata Hii mlisema ivo ivoMmeanza kuandika pumba, hivi unafikiri mtaifunga MC Alger?
Msimamo wa nini wakati nafasi bado ni ile ile kilicho ongezeka ni points tu kutoka 4 hadi 7 !.Mwenye msimamo kundi la Yanga baada ya mechi ya leo