Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #301
Dakika ya 35
Al Hilal 0
Yanga 1
Al Hilal 0
Yanga 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMeshaolewa?Kila lakheri Yanga 💚
simba na waarabu na simba na waangola walijaa watoto wa shuleHii mechi pale uwanani ni kama ile ya Simba na warabu, haina mashabiki , mazungumzo ya refa na wachezaji yanasikika, kelele zinszosikika uwanjani ni wachezaji kuombana pasi
🤣🤣 Mkuu nipo mwanangu hapa anasema Baba chupuchupu ndo Nini? Mtangazaji kalisema mara mbiliChupuchupu
Nani sasa, yeye financial services au Yanga😎UMeshaolewa?
Twende full timeSoma ubao mtani
Kwa lipiFofana hatomsahau Aziz Ki
Mbona hawafungi sasa ?Hawa Al Hilal wanajua sana.