Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsikimbieTwende full time
Wote wawili ni yanga haoNani sasa, yeye financial services au Yanga😎
Niende wapi na leo weekend halafu sijaajiriwaUsikimbie
Swahiba ushindi muhimu leoHakika Mkuu.
Futa kwanza machozi uje tena.Kwa lipi
Nyie ndio watu wa systemNiende wapi na leo weekend halafu sijaajiriwa
Hao jamaa kwa timming ndio wenyewe..usije shangaa game ikaisha draw au yanga anakalia. Hapa wafanye kuwapiga goli nying mapemaaa kama wanatafuta ushindiYanga wanacheza mpira mtamu sana. Ingawa hawa Hilal inaonekana ni wazuri zaidi wanawalia timing kali. Inabidi wawe makini 100%
Walifunga Dar inatosha. Wewe unataka wafunge kila sehemu ndo ukubali kuwa wanajua.?Mbona hawafungi sasa ?
Mbumbumbu tuliaNa ile ya tp na alger je vipi???
Futa kwanza machozi uje tena.
Ni kweli, Al Hilal wapo vizuri sanaYanga wanacheza mpira mtamu sana. Ingawa hawa Hilal inaonekana ni wazuri zaidi wanawalia timing kali. Inabidi wawe makini 100%
HapanaNyie ndio watu wa system
Hii game sio rahisiIbenge amefanya ujinga mwingi sana
GAme ngumu hiiPamoja na yote! Hii game ni ngumu sana