Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ngoma ni sareKisirisiri napenda yanga akandwe ila kinuonekano naonekana yanga ashinde
Upo bar ganiHadi hapo ngoja ni_cash out hii ya ushindi alafu nibet nyingine 🤣 😂 🤣 🤣.
Natania tu!.
C0BX709CCH: Imethibitishwa umepokeaKihasibu, unalizingumziaje lile shuti la Aziz Ki?
Hawa leo hawachomoki...Madrid anakandwa huku kama watoto wadogo
Watakupiga😂Kuna tofauti kubwa kati ya pilau na makande,ule ulioisha yalikuwa makande
Kwa staili hii utaoa tena fasta, haya ndo mambo tuyapendayo wanawakeNitumie account number nitume pesa ya vocha unipigie kunipa maelekezo ya kuleta posa na mahali
Sawa ibengeSudan Wanakaribia kupata bao...!
Wacha weeee. Mbumbumbu hao katika ubora wao.Hili la kuhongana mbona lilishasemwa kabla ya hii mechi kuanza.
Wacha weeee. Mbumbumbu hao katika ubora wao.Hili la kuhongana mbona lilishasemwa kabla ya hii mechi kuanza.