Full Time: AS otoho 2-1 Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

Full Time: AS otoho 2-1 Singida black Stars || Mchezo Wa Caf Confederation Cup 1 February 2026

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
01 February 2026
Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville

Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville, katika pambano muhimu la Kundi C la Kombe la Shirikisho la CAF. Katika pambano la mwisho kati ya timu hizo mbili, lililochezwa Januari 25, 2026 nchini Tanzania, Singida Black Stars iliifunga AS Otoho bao 1-0.

Uchambuzi Otôho wa Oyo​

AS Otohô wanaingia kwenye mechi hii baada ya kushindwa bao 1-0 ugenini na Singida Black Stars, na kuashiria kupoteza kwao kwa pili katika mechi zao tatu za mwisho za Kombe la Shirikisho la CAF. Timu ya nyumbani kwa kawaida hucheza mfumo wa 4-3-3, ikiweka kipaumbele mabadiliko ya mashambulizi na kuelekeza mashambulizi yao pembeni. Wachezaji wao watatu wanaotegemewa zaidi, na wanaohusika na kusababisha uharibifu katika ulinzi wa wapinzani, ni Samy Mampembe, Bandiougou Diallo, na Klegnime Koné. Wachezaji wote wapo fiti kabisa na wanapatikana kuanza mchezo wa leo .

Uchambuzi Singida Black Stars FC​

Singida Black Stars inaingia kwenye mechi hii baada ya ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya AS Otohô, na kumaliza mfululizo wa michezo miwili bila ushindi katika Kombe la Shirikisho la CAF. Chini ya uongozi wa Othmen Najjar, timu hiyo ya wageni inatarajiwa kutumia mfumo wa kimkakati wa 3-4-3, ikizingatia kasi na ubunifu wa wachezaji wao wa kimataifa Joseph Guede Gnadou, Lamine Jarjou, na Elvis Rupia. Katika mashambulizi, timu ya ugenini inazidi kutumia upande wa kushoto, ikitumia fursa ya Emmanuel Keyekeh anayepenya hadi mbele kuunda fursa hatari. Wachezaji wote wanapatikana kwa mechi hii



AS Otoho faces Singida Black Stars at the Stade Alphonse Massamba-Débat in Brazzaville, in a vital clash for Group C of the CAF Confederation Cup. In the last encounter between the two teams, played on January 25, 2026 in Tanzania, Singida Black Stars defeated AS Otoho 1-0.
 
Hakuna matumizi ya usaidizi wa VAR katika hatua hii. Refa kutoka Togo ndiyo anasimamia mchezo wa leo.

Kipyenga kimepigwa hapa

Dakika 1 '
AS Otoho 0 - 0 Singida Black Stars

Dakika 5'
AS Otoho 0 - 0 Singida Black Stars
Sare yoyote au ushindi kwa Singida Black Stars utawapa nafasi kuingi hatua ya robot fainali

​

Dakika 6'
Keyekeh wa SBS anapewa kati ya njano

Dakika 10'
AS Otoho wanaonesha kuwa na hamu ya kupata matokeo zaidi kuliko wageni SBS

Dakika 15'
Metacha amekuwa akinyaka mipira zaidi kuliko kipa wa Otoho. Mipira isiyo kuwa ya hatari

Dakika 20'
Kipa Metacha agongana vichwa na mchezaji wa Otoho, wapo nchini wakipata huduma ya kwanza

Dakika 24'
Jallah wa OSA anatolewa kwa machela moja kwa moja ndani ya ambulance

Dakika 25'
Kipa Metacha wa SBS naye anatolewa nje majeruhi, nafasi yake inachukuliwa mNigeria

Dakika 28'
Metacha anapewa red card kutokana na uhusika wake ktk kusababisha majeruhi, SBS sasa wana wachezaji 10 tu uwanjani

Dakika 32' Kona kwa OSA mpira mpira wa kichwa unakuwa mwingi SBS wanasalimika

Dakika 35'
Rupia wa SBS anababatiza mpira na OSA wanasalimika

Dakika 37' Kona kwa OSA, lakini SBS wanaondosha hatari

Dakika 42'

OSA wanazidi Kuiweka pressure SBS yenye wachezaji 10 baada ya red card ya Metacha

Dakika 43'
Lamine wa SBS yupo chini majeruhi, SBS inacheza na wachezaji 8 tu

45' + 4 majeruhi half time
AS Otoho 0 - 0 Singida Black Stars
 
Second Half
Kutoka Uwanja wa Alphonse Massamba-Débat jijini Brazzaville

Dakiika 45'
Kipindi cha pili kimeanza

Dakika 46'
Jabba wa Otoho katika nafasi nzuri anapiga nje

Dakika 51'
GOAL GOAL
AS Otoho 1 - 0 Singida Black Stars
Otoho wamerudi na hamu zaidi ya ushindi, wapata goli

Dakika 55'

AS Otoho 1 - 0 Singida Black Stars

Dakika 60'

Pressure kubwa OSA wanaipa SBS, wanaokoa Singida na kujaribu counter attack mpira unakatika
AS Otoho 1 - 0 Singida Black Stars

Dakika 63'
Ayub lyanga na Miraji wa naingia kama substitute kwa SBS


Dakika 66
Nguvu mpya kwa Singida, Lyanga na Rupia wanajaribu kutengeneza nafasi lakini offside
AS Otoho 1 - 0 Singida Black Stars

Dakika 73'
Singida wanafanya mabadiliko Guede anaingia badala ya Rupia

Dakika 80
GOAL GOAL. Nzaou

AS Otoho 2 - 0 Singida Black Stars

Dakika 86
AS Otoho 2 - 0 Singida Black Stars
 
Dakika 90
GOAL GOAL Guede

AS Otoho 2 - 1 Singida Black Stars

Dakika 4 za majeruhi zaongezwa
 
Back
Top Bottom