Hakuna matumizi ya usaidizi wa VAR katika hatua hii. Refa kutoka Togo ndiyo anasimamia mchezo wa leo.
Kipyenga kimepigwa hapa
Dakika 1 '
AS Otoho 0 - 0 Singida Black Stars
Dakika 5'
AS Otoho 0 - 0 Singida Black Stars
Sare yoyote au ushindi kwa Singida Black Stars utawapa nafasi kuingi hatua ya robot fainali
Dakika 6'
Keyekeh wa SBS anapewa kati ya njano
Dakika 10'
AS Otoho wanaonesha kuwa na hamu ya kupata matokeo zaidi kuliko wageni SBS
Dakika 15'
Metacha amekuwa akinyaka mipira zaidi kuliko kipa wa Otoho. Mipira isiyo kuwa ya hatari
Dakika 20'
Kipa Metacha agongana vichwa na mchezaji wa Otoho, wapo nchini wakipata huduma ya kwanza
Dakika 24'
Jallah wa OSA anatolewa kwa machela moja kwa moja ndani ya ambulance
Dakika 25'
Kipa Metacha wa SBS naye anatolewa nje majeruhi, nafasi yake inachukuliwa mNigeria
Dakika 28'
Metacha anapewa
red card kutokana na uhusika wake ktk kusababisha majeruhi, SBS sasa wana wachezaji 10 tu uwanjani
Dakika 32' Kona kwa OSA mpira mpira wa kichwa unakuwa mwingi SBS wanasalimika
Dakika 35'
Rupia wa SBS anababatiza mpira na OSA wanasalimika
Dakika 37' Kona kwa OSA, lakini SBS wanaondosha hatari
Dakika 42'
OSA wanazidi Kuiweka pressure SBS yenye wachezaji 10 baada ya red card ya Metacha
Dakika 43'
Lamine wa SBS yupo chini majeruhi, SBS inacheza na wachezaji 8 tu
45' + 4 majeruhi half time
AS Otoho 0 - 0 Singida Black Stars