Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Match Day
⚽ Azam FC vs Yanga SC
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
🛡️ Community Shield.
📅 11.08.2024
⏰ 7:00pm



#Daimambelenyumamwiko#

Tukutane saa Moja kwa Updates...
Mwanzo mwisho!!

Kikosi Cha Yanga Kinachoanza.

KIKOSI CHA AZAM
Updates....

Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze kutoka kwa Miamba miwili Yanga SC dhidi Azam FC

Mchezo umeanza sasa.

Dakika 2, Yanga wameaza kwa kasi.

Dakika 4, Max Mpia anakosa nafasi ya kufunga goli.

Dakika 8, Yanga wanajenga shambulizi ila Azam wanaokoa.

Dakika 13, Goooooool Feisa anawapa goli la kuongoza Azam FC
Azam piga hao kima wa Jangwani
 
Back
Top Bottom