Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Ni lini mashabiki wa Simba watakuja kukili kuwa Yanga ipo vizuri??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lini mashabiki wa Simba watakuja kukili kuwa Yanga ipo vizuri??
Hongera mtaniWeeeee kwamba fei miuno atarudi tena.......
Imetokea kweli,nilitabiri kabla haijaanza,ningeweka mzigo ningemla muhindiHii game inaisha 4 -1
Hahaaaaaa haya 5imba wanakimbia sana. Hongereni.Hizi comment kwangu huwa nimeweka ignore button hazinishtui kaka angu....endelea kuangalia kwa jicho lako la lenzi mbinuko....
🤣🤣🤣🤣 niko fasta sanaaaaWe Mgalanosi umeinyakuaje hii picha?😀😃😄😁😆
Ingekuwa wewe usingechanganyikiwa 😂😂😂Dabo anasema hawana Uzoefu na game za aina hii.
Yuko serious kweli?
Au Kiingereza shida?
Anashangilia kipumbavu sanaDogo Feisal fala sana, halafu hajifunzi.
Yale matusi aliyotufanyia sisi tunamjibu kwa magoli tu.