DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Kumdhamin bayern kwa MTU kama liva ni kusumbua akili mkeka huo apo juu beti ata ada,kodi, nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walishindwa kufurukuta hapo kwao wataweza ugenini usije kufikiri hao ni PSG wa Man yuu nadhani cholo unajua nini kimempata pamoja na kwamba alikuwa anaongoza goli mbili, wengine nyumbani hawafanyi ujingaKumdhamin bayern kwa MTU kama liva ni kusumbua akili mkeka huo apo juu beti ata ada,kodi, nkView attachment 1044445
Sent using Jamii Forums mobile app
THIS IS LIVERPOOL underline my words....Endelea kujipa moyo tu, Bayern sio akina stoke city, bunley, woves n.k
Barca na Bayern wanapita, mark my words!
naona wamefanya la maana sana nyumbani kwaoKama walishindwa kufurukuta hapo kwao wataweza ugenini usije kufikiri hao ni PSG wa Man yuu nadhani cholo unajua nini kimempata pamoja na kwamba alikuwa anaongoza goli mbili, wengine nyumbani hawafanyi ujinga
na kiingeleza cha ras simba juu mwisho wa siku vumbi tu
kwa Uefa wote waliobaki ni watoto kwa liva mzee mzima wakumsumbua pale ni Madrid tu ambae keshafungasha viragoBado mnasafari ndefu sana, tushawazoea hamfiki popote 😂😂😂 natamani sana mkutane na King wa dunia ....si umeona alichowafanya lyon!!!
Hahaa kwani washawahi kukutana na Barca?kwa Uefa wote waliobaki ni watoto kwa liva mzee mzima wakumsumbua pale ni Madrid tu ambae keshafungasha virago
Walikutana hatua ya 16 bora, msimu wa 2006/2007 Barcelona akiwa ametoka kunyanyua kwapa. Nou Camp Liverpool alishinda 2 kwa 1, anfield Barcelona alishinda 1 bila. Liverpool alisonga mbele kwa faida ya bao la ugenini. Na msimu huo, Liverpool alifika fainali na AC Milan akapigwa 2 kwa 1.Hahaa kwani washawahi kukutana na Barca?
Amini kwambaBado mnasafari ndefu sana, tushawazoea hamfiki popote [emoji23][emoji23][emoji23] natamani sana mkutane na King wa dunia ....si umeona alichowafanya lyon!!!
Kama walishindwa kufurukuta hapo kwao wataweza ugenini usije kufikiri hao ni PSG wa Man yuu nadhani cholo unajua nini kimempata pamoja na kwamba alikuwa anaongoza goli mbili, wengine nyumbani hawafanyi ujinga
Punguza wenge leo ndio mwisho wa liverpool
Pambaneni na gardiola mapema la sivyo huu msimu mtaambilia patupu
Fa out
Callabao out
Eefa out
Sasa mtachukua nin liverfool mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app