Hii mbugi lazima niamke kuichekiSalaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.
Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku.
Katika hali inayoshangaza, Wa-Africa mbali mbali duniani wameungana kushangilia Brazil against Morocco baada ya kukumbuka kwamba last time Morocco alifanya vizuri kwenye World Cup ya Qatar, they denounce themselves kama ni taifa lisilotoka Africa na wakaenda mbali kusema kwamba ni shobo za Wa-Africa kuwa-support and they never appreciate Africans support.
Mungu si Athumani, siku zikakimbia kweli na leo ndo siku ya malipo. Maombi, dua na sala za Wa-Africa wengi ni kuiombea ushindi Brazil dhini ya Morocco, washindi wa mezani wa Afcon 2025, Morocco Version.
Kila la kheri Brazil.
Sio game ya kukosa hiiHii mbugi lazima niamke kuicheki
Kwanini..? HahaWalokole, wakatoliki na wasabato watakua upande wa Brazil
Wanasema waarabu Hawana akilKwanini..? Haha
Kwako ni saa 10 jioniSaa 7 usiku! Kwanin wasiiweke saa4
Unadhani duniani kote sasa hivi ni mchana?Saa 7 usiku! Kwanin wasiiweke saa4
Huu utapwala wako hautakusaidia chochote na kampeni zako uchwara acha watu wainjoi footballSalaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.
Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku.
Katika hali inayoshangaza, Wa-Africa mbali mbali duniani wameungana kushangilia Brazil against Morocco baada ya kukumbuka kwamba last time Morocco alifanya vizuri kwenye World Cup ya Qatar, they denounce themselves kama ni taifa lisilotoka Africa na wakaenda mbali kusema kwamba ni shobo za Wa-Africa kuwa-support and they never appreciate Africans support.
Mungu si Athumani, siku zikakimbia kweli na leo ndo siku ya malipo. Maombi, dua na sala za Wa-Africa wengi ni kuiombea ushindi Brazil dhini ya Morocco, washindi wa mezani wa Afcon 2025, Morocco Version.
Kila la kheri Brazil.
Mwanetu Ashraf ndo kapten ujueSalaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.
Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku.
Katika hali inayoshangaza, Wa-Africa mbali mbali duniani wameungana kushangilia Brazil against Morocco baada ya kukumbuka kwamba last time Morocco alifanya vizuri kwenye World Cup ya Qatar, they denounce themselves kama ni taifa lisilotoka Africa na wakaenda mbali kusema kwamba ni shobo za Wa-Africa kuwa-support and they never appreciate Africans support.
Mungu si Athumani, siku zikakimbia kweli na leo ndo siku ya malipo. Maombi, dua na sala za Wa-Africa wengi ni kuiombea ushindi Brazil dhini ya Morocco, washindi wa mezani wa Afcon 2025, Morocco Version.
Kila la kheri Brazil.
Kwako ni saa 10 jioni
Kwako ni saa 10 jioni
Daah wabongo mnapenda kushambulia😂Unadhani duniani kote sasa hivi ni mchana?
Imani za watu kwenye hiyo mechi zimeingiaje hapo!Walokole, wakatoliki na wasabato wa namanyele watakua upande wa Brazil wazungu wenzao
Mkuu kobazi ndio nini?Mimi ni kobazi na nasimama na Brazil, sio wangese hao moroko
Kubwa la Maadui aka munch wa anabeleMimi ni kobazi na nasimama na Brazil, sio wangese hao moroko