Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there.

Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku.

Katika hali inayoshangaza, Wa-Africa mbali mbali duniani wameungana kushangilia Brazil against Morocco baada ya kukumbuka kwamba last time Morocco alifanya vizuri kwenye World Cup ya Qatar, they denounce themselves kama ni taifa lisilotoka Africa na wakaenda mbali kusema kwamba ni shobo za Wa-Africa kuwa-support and they never appreciate Africans support.

Mungu si Athumani, siku zikakimbia kweli na leo ndo siku ya malipo. Maombi, dua na sala za Wa-Africa wengi ni kuiombea ushindi Brazil dhini ya Morocco, washindi wa mezani wa Afcon 2025, Morocco Version.

Kila la kheri Brazil.

Dua la kuku kamwe halimpati mwewe, endeleeni kuwaponda Morocco, wengine nimefuatilia comments zao wanawatakia waarabu wote waondolewe, ni chuki hizo, mwanaume mzima unaonyesha kisirani mbele ya mwanaume mwenzio hahaaaaa
 
Hii ndio brazili na brazil ni hii..
images.jpeg
 
Haya mambo ya kuhusishwa pamoja yanakera sana, lini nilikaa na wewe nikakwambia nipo upande wa Morocco ingawa mimi ni mwafrika.
Uwe unajisemea kwa nafsi yako badala ya kujuisha watu bila ridhaa yao.
Hauna tofauti na maccm ambayo yalidanganya yameshinda kwa kishindo ingawa hatukupiga kura.
 
Back
Top Bottom