kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Naipenda brazil
Hapana wewe labda hauna tu kumbukumbu. Hayo maneno yalitamkwa na mchezaji moja wa Morocco kipindi kile lakini yalikanushwa vikali na kocha wao ambaye alienda mbali zaidi na kuomba radhi.Wewe watakie ushindi Morocco.ila wakishinda wao wanasema ni ushindi wao na waarabu wenzao Kwa wewe unajipendekeza.jifunze kubalance shobo
Imekaa vibaya sana kama upo E.AUnadhani duniani kote sasa hivi ni mchana?
Sawa.basi wakishinda nitawasapoti.Hapana wewe labda hauna tu kumbukumbu. Hayo maneno yalitamkwa na mchezaji moja wa Morocco kipindi kile lakini yalikanushwa vikali na kocha wao ambaye alienda mbali zaidi na kuomba radhi.
Hivyo hatuwezi tu kuwa watu wasiosamehe hayo yalishapita hivyo tushangilie tu timu za bara letu bila kujali dini, taifa wala rangi.
ChatGPT wako kavurugwa na nini, game bado yeye anadai tayari
sikupingiiiNa wapigike tu hakuna namna, tuko na Brazil dk 90 za mchezo
Sio chat gpt ni google huyo nilikuwa naulizia muda wa mechi ndio akaniambia tayari imeshachezwa na sasa hivi Brazil wanajiandaa kukutana na HaitiChatGPT wako kavurugwa na nini, game bado yeye anadai tayari
Google upande wa AI mode bila shaka!Sio chat gpt ni google huyo nilikuwa naulizia muda wa mechi ndio akaniambia tayari imeshachezwa na sasa hivi Brazil wanajiandaa kukutana na Haiti
Bila shaka maana nimeandika yakaja maelezo nikawa najiuliza nilikuwa wapi wakati wanachezaGoogle upande wa AI mode bila shaka!
Chat kanywa visungura.ChatGPT wako kavurugwa na nini, game bado yeye anadai tayari