PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Brazil ya hovyo kutokea ndio hii yaan inapigiwa mpira
Mkuu me pia,ila huu mpira wanaopiga Morocco ni balaaa.Brazil ajipangeWachapwe tu morroco
KawaidaMbona hawazingatii mda
Ratiba inasema saa 1 ;00 ila mechi imeanza na dk 6
Wamorroco kwa uwazi waliukataa uafrika.Wachapwe tu morroco
Kuna kila dalili AI wako akawa ndani ya muda maana sioni dalili ya goli hapa