na namba 25, amepoteza umakini tangu first halfRafinya anafanya nn uwanjani kwani?
Hata hivyo, Morocco sio timu nyepesi kwa sasa. Na kama wangekuwa na wafungaji wazuri muda huu Brazil ingekuwa ishapigwa hata tatu.Brazil hamna kitu
Kama mwana man u namkubali casemiro, lakini mie sio mshabiki wa Brazil.Sasa wewe si unataka lolote baya limkute yeyote mkuu mbona umeanza kuwaonea huruma Brazil
They have decades ago.Brazil loosing her legacy
wote pipa na mfuniko itaisha drooBrazil hawako vizuri katikati ila ni wazuri kwenye eneo la mwisho. Na Morocco wazuri ila wabovu kwenye eneo la mwisho. Kwa maoni yangu, Brazil atashinda game hii kama si droo ila Morocco hawezi kushinda.
we kweli labda wa juzi. kabisa unaiamini Brazil? Brazil iliisha 2006Hadi muda sijaona mpira wa Brazil niloutegemea
Kama ulizaliwa miaka ya 90, Romario ulimuona katika fainali ipi?Sisi watoto tuliozaliwa miaka ya 90 ndo tunateseka na Brazil.
Tulishuhudia Brazil Bora kabisa ya akina Ronaldo,cafu,dunga,romario, denilison, Ronaldinho n.k
Lakini Sasa naona maruwe ruwe tu.
Ndicho walichokipatq ingawa alikuwa na uwezo wa kushinda kama wasingecheza kibishooMorocco wanahitaji point moja kwenye mechi