Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Hawa warabu ukoko hawatakiwi kushinda hata game moja 🌍 cup wabaguzi wakubwa ni Basi tu Brazil anazengua
Kila race ni wabaguzi, ni sisi tu waafrika kwa sababu tupo nyuma kwenye kila kitu na ukijumlisha na hizi dini tulizokalilishwa kutuaminisha kwamba waliotuletea ndio superior race kwetu. Hio ndio maana tunalilia kupendwa na kukubalika na races zingine. Mtu akikubagua na wewe mbague, kwani shida nini.
 
Pamoja na yote bado siwezi kuwa shabiki wa Morocco, Mimi ni wa Senegal na ufaransa.

Hata hivyo haiondoi ukweli kuwa Morocco ni wazuri. Ndio maana wao hujiona waarabu zaidi na wazungu Kwa sababu wachezajo wao wengi wamezaliwa Ulaya na wanacheza ulaya. Kifupi wale ni waarabu-wazungu

Kwa hiyo hatuna lakujilinganisha NAO sisi watu weusi
 
Back
Top Bottom