SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,355
- 2,117
HatoboiMorocco atafika Robo fainali kilaini kabisa..
Kuna ureno,Spain, Argentina, England,USA, Senegal,France na Croatia
Hizi timu NI Ngumu Kuliko unavyofikiria Kwa sasa
Colombia, hao Brazil unaowachukulia poa wanakikosi kipana pia, German?
Binafsi Morocco namuweka kwenye second raw baada ya timu hizo hapo juu