Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

Hawa warabu ukoko hawatakiwi kushinda hata game moja 🌍 cup wabaguzi wakubwa ni Basi tu Brazil anazengua
 
Casemiro namkubali sana, lakini kwa hii njano inabidi anceloti amfanyie subb vinginevyo atakula red mda c mrefu na itaharibu utamu wa hii game.
 
Game tough hii kwa sisi wakamaria

First half imeisha na konA 1
Kadi 1
Offside 0
Goli 2
 
Back
Top Bottom