OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Imepigwa mbali sana hiyoKwani tayari mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imepigwa mbali sana hiyoKwani tayari mkuu
Hongera mkuu, Mungu tayari kakujibu.Tulia bhana...daah
Hahahaha kombe la looser mnajiokotea wagonjwa tu na kuna timu za ajabu ajabu sana. Hii timu mnayocheza nayo ina waarabu wagunya wengi sana.Active changamka brother twende mpira kati
kabisa. Na hata hawajui watamlaamu nani wao kufungwa.Kitakachowaumiza sana Amphibians sio wao kufungwa bali SIMBA kushinda hii mechi leo
Sasa Vishu mtata Yanga Na Simba Ipi Timu Bora kwa sasa Hivi 🤣🤣 we Timu imepoteza michezo kama Mzee anavyopoteza Meno🤣🤣🙌🙌Daah ninesikitishwa sana na ndgu yangu DR Mambo Jambo kua shabiki wa hao wanga koro wizard, mikia.
Ondoka huko hustahili kabisa , timu bovu hilo sio muda litavuja na halirekebishiki
Hahahaha kombe la looser mnajiokotea wagonjwa tu na kuna timu za ajabu ajabu sana. Hii timu mnayocheza nayo ina waarabu wagunya wengi sa
Soma Ubao31' 0-0
❤❤❤❤Imepigwa mbali sana hiyo
Serious???31' 0-0