Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Warabu wanahasira balaa
Na bado
Buenos días! Dios bendiga tu vida y la de los tuyo.jpeg
 
Simba tukipata point 3 mechi hii tutakuwa tumefika asilimia 75 za kujihakikishia tumevuka.

Baada ya hapo focus tutaihamishia kwenye kupambania kumaliza wakwanza kwenye kundi ili draw ya robo tupangwe na kibonde.

Now kila timu itayopangwa na Simba itakuwa inacheza kwa hofu kwasababu ya ubabe wake wa kupiga nje ndani.
 
Back
Top Bottom